Nataka kulisaidia Jeshi la Polisi; Muuaji aliyekimbia DSM anaishi hapa

Niliskia story kama hiyo maeneo ya Mburahati Barafu (Santos)..Nadhani atakua huyo huyo bwege.
mkuu hilo jina santos pia nililisikia kwenye hizo story zao,nipe story kidogo ilikuwaje unirahisishie kazi.
 
Unajitafutia kesi, utakuwa shaidi wa kwanza ...!
unanikatisha tamaa sasa mm nitakuwa na kesi gani hapo?kutoa taarifa ya muhalifu alipojificha kama ni kosa bora niende kijiweni nikanywe kahawa watoto wasije wakakosa ugali.
 
hili pia lilinishangaza sana kwamba jamaa ana kesi ya madawa alikamatwa nazo live wakati anavuka vijinga barabara ya kutoka horohoro boda kuja tanga mjini,kila mwezi alikuwa anaenda kusikiliza kesi mpaka ikafikia utetezi na hizi tarehe za mbele anadai anaenda kwenye hukumu,kama kungekuwa na uhifadhi kumbukumbu za kesi kwa njia za kisasa zaidi angejulikana mapema.
 
Akili za hivi ni za wapi jamani, nyie ndiyo mnafuga majambazi majumbani mwenu. Huyu bwana akishafikishwa mbele ya mahakama na akapatikana na hatia na kupewa adhabu basi marehemu anakuwa amepata haki yake.
Inachekesha
 
Atakuwa amekugongea Demu wako si bure...
hapana mkuu hajanifanyia lolote ila kile kitendo cha kujua kuwa ameuwa na amekuja mtaa huu nyumbani kwao kujificha SIKUBALIANI NACHO
 
Polisi lazima waondoke na wewe wakakuminye hizo kende au useme na mengine. Acha kimbelembele mwana hilo Jeshi haliaminiki.

R.I.P Hamza, Ben Saanane n.k
kwa kuwa sina kosa lolote zaidi ya kutoa taarifa kama tunavyosisitizwa kushirikiana na askari wetu kutokomeza uhalifu sifikirii kuogopa chochote.
 
kwa kuwa sina kosa lolote zaidi ya kutoa taarifa kama tunavyosisitizwa kushirikiana na askari wetu kutokomeza uhalifu sifikirii kuogopa chochote.
mkuu mpaka sasa bado tu fanya haraka hizi taarifa za kuripotiwa zinaweza kumfikia huyo muharifu.
 
Mkuu TZ ni ngumu sana. Unaeza shangaa unareport then polisi wanampa muhalifu report kwamba karipotiwa na flani. Hawa watu wana connection na wanausalama kinoma.

Jua kwamba unajiweka kwny risk wewe na watu wako.

Do it on your own risk
 
Hapana mkuu woga wako ndiyo kikwazo kwako na kwa jamii inayokuzunguka, kiufupi mtoa mada nimemkubali kwa nia njema na dhamira yake. Atoe tu taarifa hakuna shida na ameshapewa namba ya IGP kabisa ashindwe yy.
 
Najaribu kuweka kumbukumbu vizuri ni kama jeshi la polisi lilitangaza donge nono kwa wote watakaofanikisha kukamatwa kwa waharifu nchini. Kama sijakosea ni shilingi M2 za kitanzania
 
Hapana mkuu woga wako ndiyo kikwazo kwako na kwa jamii inayokuzunguka, kiufupi mtoa mada nimemkubali kwa nia njema na dhamira yake. Atoe tu taarifa hakuna shida na ameshapewa namba ya IGP kabisa ashindwe yy.
Polisi siwaamini kabisa mkuu. Mzee wangu na mama wameuawa kwa mambo ya kijinga ya hawa watu. Sitokaa niwaamini.
 
Polisi siwaamini kabisa mkuu. Mzee wangu na mama wameuawa kwa mambo ya kijinga ya hawa watu. Sitokaa niwaamini.
Kuna ishu za kutilia shaka katika kuziripoti ila hiki cha mpuuzi mmoja kama huyu hana mkono wowote mrefu mkuu.
 
That waters you're trying to swim aren't safe bro. Do your things achana na mambo yasiyokuhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…