Nataka kumiliki kiwanja ila kipato changu ni cha kwa siku...

Nataka kumiliki kiwanja ila kipato changu ni cha kwa siku...

Unakwama wap viwanja siku hizi unalipa kama unacheza upatu
 
Nip0 dar,gongo la mboto...nina matamanio ya kumiliki kiwanja njia ya CHANIKA....
COMMITMENT ni muhimu,,,,kama uliweka 900k basi hushindwi kuweka 2m+...nenda Bank fungua Fixed Account,,, then weka hela humo hadi zifike amount unayohitaji.....kisha kanunue KIWANJA......au Jaribu Viccoba kama una access hio,,,kwasababu nasikia kule kuna namna pesa huwa inajizalisha,,,so ni tofauti na ikikaa Bank,,,,RISK tu ni kubwa kuliko Bank

KUMBUKA: Hili jambo sio swala la Over Night,,,ni mchakato,,, hivyo jiandae kulipa gharama za maendeleo unayohitaji,,,jiandae kutoka kwenye Comfort Zone,,,,Otherwise UTAFELI.

Kila lakheri
 
Una miaka 28...

Unaishi Gongolamboto...

Kipato chako 30k/siku...

Na bado unapata tabu ni vipi utamiliki kiwanja NJIA YA CHANIKA.?!!!

Kuna tatizo mahali!
Tatiz0 gani...
 
Unatakiwa ujitoe kweli kweli mimi nilikaa mwaka mzima sijui bei ya chips na mademu nawaona kama magaidi haikuwa rahisi kwa kweli kupunguza matumizi itasaidia.
 
Back
Top Bottom