Nip0 dar,gongo la mboto...nina matamanio ya kumiliki kiwanja njia ya CHANIKA....
COMMITMENT ni muhimu,,,,kama uliweka 900k basi hushindwi kuweka 2m+...nenda Bank fungua Fixed Account,,, then weka hela humo hadi zifike amount unayohitaji.....kisha kanunue KIWANJA......au Jaribu Viccoba kama una access hio,,,kwasababu nasikia kule kuna namna pesa huwa inajizalisha,,,so ni tofauti na ikikaa Bank,,,,RISK tu ni kubwa kuliko Bank
KUMBUKA: Hili jambo sio swala la Over Night,,,ni mchakato,,, hivyo jiandae kulipa gharama za maendeleo unayohitaji,,,jiandae kutoka kwenye Comfort Zone,,,,Otherwise UTAFELI.
Kila lakheri