Nataka kumiliki Scania R450. Je, pesa itarudi baada ya muda gani?

Mchina apewe , maua yake mkuu
 
Trailer used za BHACHU au HENRED FRUEHAUF zinaendaje wakuu
Bhachu zinatengenezwa Kenya,Used yake kwa Tanzania labda uuziwe na matajiri wakubwa kama Usangu Logistics ndio walikuwa wananunua sana hizo trailer.

Henred Fruehauf hii nyepesi kupata used yake kutoka South Africa, bei kuanzia 30m
 
Nataka nianze na truck tatu la kichina kwa mkopo ,sina dowm payment . hivi wapi napata bila down payment😀nikopesheni truck wakuu
 
Well said
 
Kaka habari , rate za lubumbashi zikoje siku hizi, na gharama za kuvusha gari zikoje ?

Rate ya kurudi na copper nayo ikoje, Asante sana ukinijibu utakuwa umenisidia sana
 
Ndugu naomba Rates za likasi, au lubumbashi za sasa.

Na roadtoll Ni kiasi gani. Asante
 
Kaka salama

Dar Lubumbashi kwa sasa rate ni $6700

Lubumbashi to Dar, copper ni $220 kwa Tani moja.

Karibu!
Kaka habari , rate za lubumbashi zikoje siku hizi, na gharama za kuvusha gari zikoje ?

Rate ya kurudi na copper nayo ikoje, Asante sana ukinijibu utakuwa umenisidia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…