Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 983
- 2,306
Naombeni msaada tafadhali.
Je nitapata seminari ya kiislamu inayo FANYA vizuri ambayo huyu mtoto ataenda kusoma bila kulazimika kuwa muislamu? Mfano kutakiwa kuswali, kujifunza koroani etc.
Mambo mengine yote atafuata kama mavazi na sheria nyinginezo za shule?.ushauri wenu tafadhali. Iwe dsm wilaya ya kinondoni
Inaitwaje hiyo seminary tuone matokeo yao?Naombeni msaada tafadhali.
Je nitapata seminari ya kiislamu inayo FANYA vizuri ambayo huyu mtoto ataenda kusoma bila kulazimika kuwa muislamu? Mfano kutakiwa kuswali, kujifunza koroani etc.
Mambo mengine yote atafuata kama mavazi na sheria nyinginezo za shule?.ushauri wenu tafadhali. Iwe dsm wilaya ya kinondoni
Zinazofanya vizuri kwenye nini hujaweka wazi, kama ni taaluma hamna, labda kama unataka akajifunze elimu ya diniNaombeni msaada tafadhali.
Je nitapata seminari ya kiislamu inayo FANYA vizuri ambayo huyu mtoto ataenda kusoma bila kulazimika kuwa muislamu? Mfano kutakiwa kuswali, kujifunza koroani etc.
Mambo mengine yote atafuata kama mavazi na sheria nyinginezo za shule?.ushauri wenu tafadhali. Iwe dsm wilaya ya kinondoni
Wanazo kimtindo.Uislam hauna seminary
Astaghifilullah!Hip yenye hop tena?Dogo atakuwa msela mwenye ushungi.Mpeleke kwa sheikh Mwinsheikh Mwinyihaji Omary ( Mwinyi Gunz) akamfundishe Old School Hip Hop
Lengo lake siyo shule, Bali matusi yaanze kumiminika.Doh! Kwa mara ya kwanza nimesikia mzazi mkristo anapeleka mtoto wake shule ya kiislam!
Samahani najua kuna kinondoni muslim unaweza kumpeleka lakini je nini kimekuvutia?
mpeleke lakni ufuate mashariti yaoNaombeni msaada tafadhali.
Je nitapata seminari ya kiislamu inayo FANYA vizuri ambayo huyu mtoto ataenda kusoma bila kulazimika kuwa muislamu? Mfano kutakiwa kuswali, kujifunza koroani etc.
Mambo mengine yote atafuata kama mavazi na sheria nyinginezo za shule?.ushauri wenu tafadhali. Iwe dsm wilaya ya kinondoni
Zinazofanya vizuri kwenye nini hujaweka wazi, kama ni taaluma hamna, labda kama unataka akajifunze elimu ya dini
Astaghifilullah!Hip yenye hop tena?Dogo atakuwa msela mwenye ushungi.
Kwani ni untouchable?Kwa nini ikijadiliwa inakuwa kama mwiko?Watu wa-relax na kutoa maoni bila wahka!Lengo lake siyo shule, Bali matusi yaanze kumiminika.
hiyo shule ya kinondoni haina ubagazi hata msalba shingoni rukhusaDoh! Kwa mara ya kwanza nimesikia mzazi mkristo anapeleka mtoto wake shule ya kiislam!