Nunc dimittis
JF-Expert Member
- Oct 19, 2018
- 1,142
- 777
Uzuri wa hawa hawavai kigodoro
Kazi kwelikweli!!!!!una silaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri wa hawa hawavai kigodoro
Kwenye hii avatar wapi kuna mdada mwenye wowowoMimi naon mdada kavaa white skirt tena ana wowowo kama lote au ni nani yako?
Haina hata sukari ya kuzugiaChaiii hiii
Sasa huyo naye ni nani? nisamehe mkuu kwangu ilionekana nusu sikuizoom pia.Kwenye hii avatar wapi kuna mdada mwenye wowowo
Au ndio umejisikia kunitukana?View attachment 931413
Bado hajakutana na changamoto Zenyewe kabambeNimeona Tittle ya thread yako. Nimecheka kinoma. Pole sana mkuu. Ila kilichonisikitisha wataalamu sa sheria wapo kimya mpaka muda huu kukupa msaada wa kisheria.
NB: Jaribu kujifunza utaalamu wa kutathmini vizuri makalio ya hawa dada zetu la si hivyo utaingia sana mkenge mjini hapa. Utaalamu unapatikana kwenye vijiwe vyote vya vijana wasio na kazi ambao hushinda kutwa nzima wakijadili ngono, muziki na mpira. Ukiweza kujichanganya huku mara moja moja utajifunza kitu.
nalitamani wowowo lako Amu...Tusiovaa vigodoro likes zenu tafadhali pia mleta mada atuambie tunacomment wapi?
Kwahiyo tusiokuwa ns kazi tunawaza ngono tu!Nimeona Tittle ya thread yako. Nimecheka kinoma. Pole sana mkuu. Ila kilichonisikitisha wataalamu sa sheria wapo kimya mpaka muda huu kukupa msaada wa kisheria.
NB: Jaribu kujifunza utaalamu wa kutathmini vizuri makalio ya hawa dada zetu la si hivyo utaingia sana mkenge mjini hapa. Utaalamu unapatikana kwenye vijiwe vyote vya vijana wasio na kazi ambao hushinda kutwa nzima wakijadili ngono, muziki na mpira. Ukiweza kujichanganya huku mara moja moja utajifunza kitu.
ingia YouTube au Google marshmello utapata majibu ya maswali yako yoteSasa huyo naye ni nani? nisamehe mkuu kwangu ilionekana nusu sikuizoom pia.
Rudia kusoma comment yangu vizuri usini hukumu kwa kuja na general coment kama hiyo.Kwahiyo tusiokuwa ns kazi tunawaza ngono tu!