Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
Kafanyaje huyo?Niko mbioni kumrejesha mtt wa mtu kwao maji yashanifika shingoni ila nasisitiza kuchanika kwa jamvi sio mwisho wa maongezi nakata mti napanda mti mungu akipenda.
Kukataa ndoa hpana japo ndoa ngumu
JF huwa kila mwanaume ana mwanamke ambaye hafanyi kazi. Maana akimchosha anamrudisha nyumbani kwao. Hafanyi biashara kana Lamomy au mwalimu kama To yeye au MahondawNiko mbioni kumrejesha mtt wa mtu kwao maji yashanifika shingoni ila nasisitiza kuchanika kwa jamvi sio mwisho wa maongezi nakata mti napanda mti mungu akipenda.
Kukataa ndoa hpana japo ndoa ngumu
Onhoo,ndoa tena mkuu? Poleni sanaNiko mbioni kumrejesha mtt wa mtu kwao maji yashanifika shingoni ila nasisitiza kuchanika kwa jamvi sio mwisho wa maongezi nakata mti napanda mti mungu akipenda.
Kukataa ndoa hpana japo ndoa ngumu
Ukisoma sredi za vijana wetu hapa JF kuhusu wake/washikaji wao wanaoishi sogea tuishi, wana wanawake ambao ni magolikipa. Kwa upande mwingine, hapa JF kila mwanamke ana kazi au ni mfanya biashara. Mimi najiuliza aidha hapa JF tunapeaana matango pori, au story za hapa ni chai bila tangawizi na pengine tunajadiliana na watoto wetu ambao wamebalehe juzi.Kuna nini kwani?
π€£π€£π€£πUkisoma sredi za vijana wetu hapa JF kuhusu wake/washikaji wao wanaoishi sogea tuishi, wana wanawake ambao ni magolikipa. Kwa upande mwingine, hapa JF kila mwanamke ana kazi au ni mfanya biashara. Mimi najiuliza aidha hapa JF tunapeaana matango pori, au story za hapa ni chai bila tangawizi na pengine tunajadiliana na watoto wetu ambao wamebalehe juzi.
Chai tupu kunawatu wapo hoi hata hizo Hela za kununua unga kula na mtoto wamtu mwez mmoja Hana ila ukiwakuta pointzao na wanavoponda wengine Sasa πUkisoma sredi za vijana wetu hapa JF kuhusu wake/washikaji wao wanaoishi sogea tuishi, wana wanawake ambao ni magolikipa. Kwa upande mwingine, hapa JF kila mwanamke ana kazi au ni mfanya biashara. Mimi najiuliza aidha hapa JF tunapeaana matango pori, au story za hapa ni chai bila tangawizi na pengine tunajadiliana na watoto wetu ambao wamebalehe juzi.
Mnakulaje unga, kwan nyie ni nyoka au mateja!?wapo hoi hata hizo Hela za kununua unga kula na mtoto wamtu mwez mmoja
Wa kupikia ugali πMnakulaje unga, kwan nyie ni nyoka au mateja!?
Okay hapo sawaaWa kupikia ugali π
Bwana Bwana!!!Chai tupu kunawatu wapo hoi hata hizo Hela za kununua unga kula na mtoto wamtu mwez mmoja Hana ila ukiwakuta pointzao na wanavoponda wengine Sasa π
Nawe umezidi kuwa mpingaji hadi... Mtu awe anafanya kazia Dar arudishwe kwa wazazi wake Shinyanga. Unaona inaingia akilini? Halafu unamrudisha kama ng'ombe mtu aliye na kisomo chake na ngawira zake.Kwan ukiwa unafanya kazi ndio hurudishwi kwenu? Tatizo hujaolewa halaf unawazungumzia waolewaje!.
Wewe ungekuwa umeolewa na smart911 na unafanya kazi ya kufundisha huko Muleba. Akikufukuza anakurudisha Morogoro. Je, Mkuu wa shule unamuaga au ndiyo kuacha kaziKwani wee unatakaje??
Mwanamke Kufanya kazi hakuhusiani kabisa na kuzingua then akarudishwa kwao!
cc Smart911
Imagine jibu kama hili wakati Unga ni Staple food kwa WatanzaniaMnakulaje unga, kwan nyie ni nyoka au mateja!?