Siyo waongo, ni watoto sana kiasi hizo waandikazo ni day dreams.😀😀😀 Wanaume wa humu waongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo waongo, ni watoto sana kiasi hizo waandikazo ni day dreams.😀😀😀 Wanaume wa humu waongo
Mpaka wakuue ndo utajielewaNiko mbioni kumrejesha mtt wa mtu kwao maji yashanifika shingoni ila nasisitiza kuchanika kwa jamvi sio mwisho wa maongezi nakata mti napanda mti mungu akipenda.
Kukataa ndoa hpana japo ndoa ngumu
Kwani hamuwezi achana...bila kurudishana kwenu....si mnaaachana tu.kila mtu anachukua time yakeNdio maana mnapelekeshwa na wanawake kwa itikadi km hizi kumrudisha mtu kwao sio kukurupuka tu mjomba acha mtu mwenye kisomo chake.
Wakat mwingine hta mimi nawezakuwa nimemechoshwa na tabia za mke wngu nahitaji kumrudisha kwao Shinyanga lkn uchumi haurusu lazim nijipange kwnza,kw mke aliyeajiriwa pia lazima taratibu za kazi yake ziheshimiwe pia unaweza kuwa umeolea Shinyanga lkn mke anaweza kuwa na wawakilishi wake hapo mlipo so hta ukimkabidhi kwa baba yake mdgo au kaka yake ndio kumrudisha kwao huko
Nilimchukua kwaoKwani hamuwezi achana...bila kurudishana kwenu....si mnaaachana tu.kila mtu anachukua time yake
Inawezekana mkuuMwanamke asiye na heshima ni wa kupiga chini, hafai kuwa mke
Kashaanza kuchezea de libolo za nje ndio maana anakuletea dharau
Never give up...! Pambana..! Utaacha wangapi?Niko mbioni kumrejesha mtt wa mtu kwao maji yashanifika shingoni ila nasisitiza kuchanika kwa jamvi sio mwisho wa maongezi nakata mti napanda mti mungu akipenda.
Kukataa ndoa hpana japo ndoa ngumu
Kwanini unga?Chai tupu kunawatu wapo hoi hata hizo Hela za kununua unga kula na mtoto wamtu mwez mmoja Hana ila ukiwakuta pointzao na wanavoponda wengine Sasa 😀
Kumbe Nyoka anakula unga na hamsemi.!??Mnakulaje unga, kwan nyie ni nyoka au mateja!?
Mkuu mtu akizingua haijalishi kwao wapi au anafanya kazi gani anarudishwa tu.Nawe umezidi kuwa mpingaji hadi... Mtu awe anafanya kazia Dar arudishwe kwa wazazi wake Shinyanga. Unaona inaingia akilini? Halafu unamrudisha kama ng'ombe mtu aliye na kisomo chake na ngawira zake.
Kuhusu mie kuolewa, kijana heshima ni kitu cha bure! Wengine humu ni umri wa Babu yako.
Eeh bwana, nilishamsikia Fid Q anasema kwenye moja ya verse katika nyimzo zake kuwa, "ukitaka kumfuga chatu, angaa unga wa kumlisha"😅Kumbe Nyoka anakula unga na hamsemi.!??