Nataka kumuacha Mke wangu

Nataka kumuacha Mke wangu

Niko mbioni kumrejesha mtt wa mtu kwao maji yashanifika shingoni ila nasisitiza kuchanika kwa jamvi sio mwisho wa maongezi nakata mti napanda mti mungu akipenda.
Kukataa ndoa hpana japo ndoa ngumu
Mpaka wakuue ndo utajielewa
 
Mwanamke asiye na heshima ni wa kupiga chini, hafai kuwa mke

Kashaanza kuchezea de libolo za nje ndio maana anakuletea dharau
 
Ndio maana mnapelekeshwa na wanawake kwa itikadi km hizi kumrudisha mtu kwao sio kukurupuka tu mjomba acha mtu mwenye kisomo chake.
Wakat mwingine hta mimi nawezakuwa nimemechoshwa na tabia za mke wngu nahitaji kumrudisha kwao Shinyanga lkn uchumi haurusu lazim nijipange kwnza,kw mke aliyeajiriwa pia lazima taratibu za kazi yake ziheshimiwe pia unaweza kuwa umeolea Shinyanga lkn mke anaweza kuwa na wawakilishi wake hapo mlipo so hta ukimkabidhi kwa baba yake mdgo au kaka yake ndio kumrudisha kwao huko
Kwani hamuwezi achana...bila kurudishana kwenu....si mnaaachana tu.kila mtu anachukua time yake
 
Niko mbioni kumrejesha mtt wa mtu kwao maji yashanifika shingoni ila nasisitiza kuchanika kwa jamvi sio mwisho wa maongezi nakata mti napanda mti mungu akipenda.

Kukataa ndoa hpana japo ndoa ngumu
Never give up...! Pambana..! Utaacha wangapi?
 
Ndoa n utapeli mkubwa Sana
Mm mwenyewe nataka kufanya hivo
Ila nitamuweka mbali mkoa na mkoa
Nitamgaramia kila kitu ila kukaa nae hapana vituko vimetosha aiseee!!!
Hawa wanawake n hovyo sana

Unarud home umechokaa badala upunzike ndo Kwanza unaongezewa matatzo
 
Nawe umezidi kuwa mpingaji hadi... Mtu awe anafanya kazia Dar arudishwe kwa wazazi wake Shinyanga. Unaona inaingia akilini? Halafu unamrudisha kama ng'ombe mtu aliye na kisomo chake na ngawira zake.

Kuhusu mie kuolewa, kijana heshima ni kitu cha bure! Wengine humu ni umri wa Babu yako.
Mkuu mtu akizingua haijalishi kwao wapi au anafanya kazi gani anarudishwa tu.

Kwakuwa ameenda kuoewa(kumtumikia mime) na sio kufanya kazi,

Kazi ni makubaliano tuu akizinguwa basi imeisha hiyo.
 
Nipasie namba zake kama hutojali!!
 
Back
Top Bottom