Nataka kumuacha Mke wangu

Nataka kumuacha Mke wangu

Wabongo kwenye suala la mapenzi mnateseka sana wakuu 😂

20240217_183600.jpg
 
Niko mbioni kumrejesha mtt wa mtu kwao maji yashanifika shingoni ila nasisitiza kuchanika kwa jamvi sio mwisho wa maongezi nakata mti napanda mti mungu akipenda.
Kukataa ndoa hpana japo ndoa ngumu
JF huwa kila mwanaume ana mwanamke ambaye hafanyi kazi. Maana akimchosha anamrudisha nyumbani kwao. Hafanyi biashara kana Lamomy au mwalimu kama To yeye au Mahondaw
 
Niko mbioni kumrejesha mtt wa mtu kwao maji yashanifika shingoni ila nasisitiza kuchanika kwa jamvi sio mwisho wa maongezi nakata mti napanda mti mungu akipenda.
Kukataa ndoa hpana japo ndoa ngumu
Onhoo,ndoa tena mkuu? Poleni sana
 
Kuna nini kwani?
Ukisoma sredi za vijana wetu hapa JF kuhusu wake/washikaji wao wanaoishi sogea tuishi, wana wanawake ambao ni magolikipa. Kwa upande mwingine, hapa JF kila mwanamke ana kazi au ni mfanya biashara. Mimi najiuliza aidha hapa JF tunapeaana matango pori, au story za hapa ni chai bila tangawizi na pengine tunajadiliana na watoto wetu ambao wamebalehe juzi.
 
🤣🤣🤣😛
 
Chai tupu kunawatu wapo hoi hata hizo Hela za kununua unga kula na mtoto wamtu mwez mmoja Hana ila ukiwakuta pointzao na wanavoponda wengine Sasa 😀
 
Kwan ukiwa unafanya kazi ndio hurudishwi kwenu? Tatizo hujaolewa halaf unawazungumzia waolewaje!.
Nawe umezidi kuwa mpingaji hadi... Mtu awe anafanya kazia Dar arudishwe kwa wazazi wake Shinyanga. Unaona inaingia akilini? Halafu unamrudisha kama ng'ombe mtu aliye na kisomo chake na ngawira zake.

Kuhusu mie kuolewa, kijana heshima ni kitu cha bure! Wengine humu ni umri wa Babu yako.
 
Back
Top Bottom