Nataka kumuacha Mke wangu

KUna wabibi hawaolewa mkuu?
 
Kwan ukiwa unafanya kazi ndio hurudishwi kwenu? Tatizo hujaolewa halaf unawazungumzia waolewaje!.
Tatizo la vilaza wa jf wanakariri kuwa mke akiwa kasoma basi anajiamulia tu ndoani kufupi km umeoa na mnatifauti kiasi hamuwezi kuendelea kuwa pmj na mkeo hasa kw sisi tulioa kwenye familia zenye maadili lazima uende nae kwao kumkabidhi
 
JF huwa kila mwanaume ana mwanamke ambaye hafanyi kazi. Maana akimchosha anamrudisha nyumbani kwao. Hafanyi biashara kana Lamomy au mwalimu kama To yeye au Mahondaw
Mjomba tofautisha kuoa na kusogeza muishi km ulioa kwa ndoa kwenda kumkabidhi mtu kwao sio kumuachisha ajira
 
Ndio maana mnapelekeshwa na wanawake kwa itikadi km hizi kumrudisha mtu kwao sio kukurupuka tu mjomba acha mtu mwenye kisomo chake.
Wakat mwingine hta mimi nawezakuwa nimemechoshwa na tabia za mke wngu nahitaji kumrudisha kwao Shinyanga lkn uchumi haurusu lazim nijipange kwnza,kw mke aliyeajiriwa pia lazima taratibu za kazi yake ziheshimiwe pia unaweza kuwa umeolea Shinyanga lkn mke anaweza kuwa na wawakilishi wake hapo mlipo so hta ukimkabidhi kwa baba yake mdgo au kaka yake ndio kumrudisha kwao huko
 
Sijaolea jf mkuu
 
Tatizo la vilaza wa jf wanakariri kuwa mke akiwa kasoma basi anajiamulia tu ndoani kufupi km umeoa na mnatifauti kiasi hamuwezi kuendelea kuwa pmj na mkeo hasa kw sisi tulioa kwenye familia zenye maadili lazima uende nae kwao kumkabidhi
💯💯💯💯
 
Kafanyaje huyo?
tumeshindwana ila haihusiani na uchepukaji mwanamke akiweza kujibishna na mumewe wake kwa ukali hta kwenye jmbo ambalo angeweza kujishusha na likapita wakat mwingine anakuwa amekosea lkn kwa hulka ya ubishi atabishna tu ili kulazaisha kuwa hajakosea hii tabia anaipeleka mpaka kwa wazazi wngu
 
Kama si chai, nenda naye taratibu. Ndivyo wakati mwingine walivyo. Ubishi na visasi hasa wake zetu wasomi. Unaishi nao kwa akili tu.

Nikupe mbinu, akikuudhi, nyamaza. Tafuta siku yupo katika heat, jitahidi kumkojoza na baada ya hapo mweleze makosa yake. Hapo atakuelewa. Maisha yatasonga mbele
 
Sio chai mkuu ni mke wangu wa ndoa
 

To be Honest wapo real wengine.Alikuja mmoja tukaanza mahusiano fresh Nikajua atanilipua tu mimi nikajiweka tayari kulipuliwa but that woman is real.Kila nilipompa zawadi alijitahidi akanipatia on next occasion zake ni kubwa hatariii
 
JF huwa kila mwanaume ana mwanamke ambaye hafanyi kazi. Maana akimchosha anamrudisha nyumbani kwao. Hafanyi biashara kana Lamomy au mwalimu kama To yeye au Mahondaw
Wanaume wa jf ni matajiri Kama mooh Ila wanaoa mahausigel na mama wa nyumbani wa kuwapikia,kuwafulia,kuwapelekea maji ya kuoga bafuni na kuwatengea k kila wanapohitaj kuizagamua🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…