Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Unga wa nini?Imagine jibu kama hili wakati Unga ni Staple food kwa Watanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unga wa nini?Imagine jibu kama hili wakati Unga ni Staple food kwa Watanzania
KUna wabibi hawaolewa mkuu?Nawe umezidi kuwa mpingaji hadi... Mtu awe anafanya kazia Dar arudishwe kwa wazazi wake Shinyanga. Unaona inaingia akilini? Halafu unamrudisha kama ng'ombe mtu aliye na kisomo chake na ngawira zake.
Kuhusu mie kuolewa, kijana heshima ni kitu cha bure! Wengine humu ni umri wa Babu yako.
Nimekuwa nakusoma siku nyingi inaonesha nawe ni wale wale aliyowataja Aaliyyah hapo juu.KUna wabibi hawaolewa mkuu?
Hahahaha..sidhaniNimekuwa nakusoma siku nyingi inaonesha nawe ni wale wale aliyowataja Aaliyyah hapo juu.
Tatizo la vilaza wa jf wanakariri kuwa mke akiwa kasoma basi anajiamulia tu ndoani kufupi km umeoa na mnatifauti kiasi hamuwezi kuendelea kuwa pmj na mkeo hasa kw sisi tulioa kwenye familia zenye maadili lazima uende nae kwao kumkabidhiKwan ukiwa unafanya kazi ndio hurudishwi kwenu? Tatizo hujaolewa halaf unawazungumzia waolewaje!.
Ndio maana mnapelekeshwa na wanawake kwa itikadi km hizi kumrudisha mtu kwao sio kukurupuka tu mjomba acha mtu mwenye kisomo chake.Nawe umezidi kuwa mpingaji hadi... Mtu awe anafanya kazia Dar arudishwe kwa wazazi wake Shinyanga. Unaona inaingia akilini? Halafu unamrudisha kama ng'ombe mtu aliye na kisomo chake na ngawira zake.
Kuhusu mie kuolewa, kijana heshima ni kitu cha bure! Wengine humu ni umri wa Babu yako.
Sijaolea jf mkuuUkisoma sredi za vijana wetu hapa JF kuhusu wake/washikaji wao wanaoishi sogea tuishi, wana wanawake ambao ni magolikipa. Kwa upande mwingine, hapa JF kila mwanamke ana kazi au ni mfanya biashara. Mimi najiuliza aidha hapa JF tunapeaana matango pori, au story za hapa ni chai bila tangawizi na pengine tunajadiliana na watoto wetu ambao wamebalehe juzi.
Mjenga hoja alimaanisha kumpa nauli ili arudi nyumbani. Si kumkabidhi kwa wazazi wake.Mjomba tofautisha kuoa na kusogeza muishi km ulioa kwa ndoa kwenda kumkabidhi mtu kwao sio kumuachisha ajira
💯💯💯💯Tatizo la vilaza wa jf wanakariri kuwa mke akiwa kasoma basi anajiamulia tu ndoani kufupi km umeoa na mnatifauti kiasi hamuwezi kuendelea kuwa pmj na mkeo hasa kw sisi tulioa kwenye familia zenye maadili lazima uende nae kwao kumkabidhi
OkayMjenga hoja alimaanisha kumpa nauli ili arudi nyumbani. Si kumkabidhi kwa wazazi
tumeshindwana ila haihusiani na uchepukaji mwanamke akiweza kujibishna na mumewe wake kwa ukali hta kwenye jmbo ambalo angeweza kujishusha na likapita wakat mwingine anakuwa amekosea lkn kwa hulka ya ubishi atabishna tu ili kulazaisha kuwa hajakosea hii tabia anaipeleka mpaka kwa wazazi wnguKafanyaje huyo?
Kama si chai, nenda naye taratibu. Ndivyo wakati mwingine walivyo. Ubishi na visasi hasa wake zetu wasomi. Unaishi nao kwa akili tu.tumeshindwana ila haihusiani na uchepukaji mwanamke akiweza kujibishna na mumewe wake kwa ukali hta kwenye jmbo ambalo angeweza kujishusha na likapita wakat mwingine anakuwa amekosea lkn kwa hulka ya ubishi atabishna tu ili kulazaisha kuwa hajakosea hii tabia anaipeleka mpaka kwa wazazi wngu
Sio chai mkuu ni mke wangu wa ndoaKama si chai, nenda naye taratibu. Ndivyo wakati mwingine walivyo. Ubishi na visasi hasa wake zetu wasomi. Unaishi nao kwa akili tu.
Nikupe mbinu, akikuudhi, nyamaza. Tafuta siku yupo katika heat, jitahidi kumkojoza na baada ya hapo mweleze makosa yake. Hapo atakuelewa. Maisha yatasonga mbele
Ukisoma sredi za vijana wetu hapa JF kuhusu wake/washikaji wao wanaoishi sogea tuishi, wana wanawake ambao ni magolikipa. Kwa upande mwingine, hapa JF kila mwanamke ana kazi au ni mfanya biashara. Mimi najiuliza aidha hapa JF tunapeaana matango pori, au story za hapa ni chai bila tangawizi na pengine tunajadiliana na watoto wetu ambao wamebalehe juzi.
Wanaume wa jf ni matajiri Kama mooh Ila wanaoa mahausigel na mama wa nyumbani wa kuwapikia,kuwafulia,kuwapelekea maji ya kuoga bafuni na kuwatengea k kila wanapohitaj kuizagamua🤣🤣
Umeona!Wanaume wa jf ni matajiri Kama mooh Ila wanaoa mahausigel na mama wa nyumbani wa kuwapikia,kuwafulia,kuwapelekea maji ya kuoga bafuni na kuwatengea k kila wanapohitaj kuizagamua🤣🤣