Nataka kumuacha Mke wangu

Niko mbioni kumrejesha mtt wa mtu kwao maji yashanifika shingoni ila nasisitiza kuchanika kwa jamvi sio mwisho wa maongezi nakata mti napanda mti mungu akipenda.
Kukataa ndoa hpana japo ndoa ngumu
Mpaka wakuue ndo utajielewa
 
Mwanamke asiye na heshima ni wa kupiga chini, hafai kuwa mke

Kashaanza kuchezea de libolo za nje ndio maana anakuletea dharau
 
Kwani hamuwezi achana...bila kurudishana kwenu....si mnaaachana tu.kila mtu anachukua time yake
 
Niko mbioni kumrejesha mtt wa mtu kwao maji yashanifika shingoni ila nasisitiza kuchanika kwa jamvi sio mwisho wa maongezi nakata mti napanda mti mungu akipenda.

Kukataa ndoa hpana japo ndoa ngumu
Never give up...! Pambana..! Utaacha wangapi?
 
Ndoa n utapeli mkubwa Sana
Mm mwenyewe nataka kufanya hivo
Ila nitamuweka mbali mkoa na mkoa
Nitamgaramia kila kitu ila kukaa nae hapana vituko vimetosha aiseee!!!
Hawa wanawake n hovyo sana

Unarud home umechokaa badala upunzike ndo Kwanza unaongezewa matatzo
 
Mkuu mtu akizingua haijalishi kwao wapi au anafanya kazi gani anarudishwa tu.

Kwakuwa ameenda kuoewa(kumtumikia mime) na sio kufanya kazi,

Kazi ni makubaliano tuu akizinguwa basi imeisha hiyo.
 
Nipasie namba zake kama hutojali!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…