Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, Zay naye ni mzuri? Au kisa anagombaniwa na Zwazwa?Mzuri kama Zaylissa??
Wewe unampenda huyo demu, ila yeye anampenda rafiki yako.Habari zenu
Nina rafiki ambaye siyo wa karibu sana alikuwa kwenye mahusiano na mtarajiwa wangu sasa baada ya kuachana kwao nilifanikiwa kumshawishi tukaingia katika mahusiano kwa siri kubwa sana (kiukweli nilikuwa nampenda tangu hapo zamani) sasa nataka niende kwao nikajitambulishe
Ww n mtata mda wote.Kwa hiyo hauna mahari au unataka uazimwe gari?
Hukua sehemu au sababu ya wao kuachana maana umekili kuwa ulimpenda toka zamani?Habari zenu,
Nina rafiki ambaye siyo wa karibu sana alikuwa kwenye mahusiano na mtarajiwa wangu sasa baada ya kuachana kwao nilifanikiwa kumshawishi tukaingia katika mahusiano kwa siri kubwa sana (kiukweli nilikuwa nampenda tangu hapo zamani) sasa nataka niende kwao nikajitambulishe
Amka usingizini, Tafuta mwingine sio huyo.Habari zenu,
Nina rafiki ambaye siyo wa karibu sana alikuwa kwenye mahusiano na mtarajiwa wangu sasa baada ya kuachana kwao nilifanikiwa kumshawishi tukaingia katika mahusiano kwa siri kubwa sana (kiukweli nilikuwa nampenda tangu hapo zamani) sasa nataka niende kwao nikajitambulishe
jua tu kwamba watakumbushiana hapo baadaeHabari zenu,
Nina rafiki ambaye siyo wa karibu sana alikuwa kwenye mahusiano na mtarajiwa wangu sasa baada ya kuachana kwao nilifanikiwa kumshawishi tukaingia katika mahusiano kwa siri kubwa sana (kiukweli nilikuwa nampenda tangu hapo zamani) sasa nataka niende kwao nikajitambulishe
ushauri bora kabisa. aache uzembe, pisi ziko nyingiNingekuwa wewe nisingefanya huo utopolo
Yaani unaoa mwanamke ambaye siku ukikaribisha huyo rafiki yako unaanza kupata picha vile anamvua
Hebu tafuta pisi nyingine acha uzembe
Wewe kwanza unaonekana ni yule jamaa mwenye kiherehere na mademu za watu,unapenda uonekane wewe ndio unafaa kuliko mwingine,,,,kwanza ulimpata huyo binti,kupitia hasira na stress zake za kuachana rafiki ako,,,,nayeye amekukubalia tu kichwani mwake kwa lengo la kumkomoa rafiki ako maana anampenda still,,,,sasa wewe ndio umempenda huyo mwanamke ndio maana unaona njia rahisi ya kumkamata ni kumuoa.......itakupa tabu sana baadae hao watakuja kulana tu,,,maana mapenzi ya kweli hayafagi yanazimia tu kwa kipindi...kua makini pale unapojiona mjanja,na kujihisi umefanikiwa.......vita inaandaliwa wakati wa Amani.......Moyo wako ulizalisha mazingira ya wizi wa huyo mwanamke wa rafiki tokea wakati ambao wao wapo na amani.....ila kierehere chako na usela mavi ukawa unaingia kwa gia za kujionesha uko bora kuliko jamaa,,,chunga itakugharimu.Habari zenu,