Nataka kumuoa Vanessa Mudeeh

Nataka kumuoa Vanessa Mudeeh

Hahahahaha,Asprin naona unatoa dozi.

Naona jamaa hata kujieleza kwa mtoto huyo hatoweza.

Mbaya zaidi amempeneda umaarufu,maana mitaani wapo tu kama Vanessa.Na kwa taarifa yake tu ni kwamba anajamaa tayari na jana alikuwanae kwenye kupokea Tuzo.Sasa wewe endelea Kumvutia kasi chooni kwa sabuni uongeze mende chooni.

Kama ana jamaa ndiyo hachukuliwa rejea Ivan na Zari! Platnumz kajizolea! ni mwendo wa kucheza na maneno na wallet! hata mke wa mkulur anachukukiwa mbele ya cotton bandle!
 
Mimi jana sijaelewa...matiti yake yanateleza kiasi kwamba sidiria haikai inateleza....
 
Back
Top Bottom