Nataka kumuoa Wema Sepetu, mwenye contact yake au anayeweza kuniunganisha

Nataka kumuoa Wema Sepetu, mwenye contact yake au anayeweza kuniunganisha

KAOROGOMA

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2015
Posts
511
Reaction score
773
Samahani wanajamvi,

Kweli kweli nimetamani sana naomba kuunganishwa na Wema Sepetu natamani kumuoa. Nasikia amekosa mtoto mi najua nitafanyaje apate mtoto tena akipata hata mapacha.
Mimi nina 29 yrs niko serious, Iam rich enough.

Please niunganisheni naye au yeye kama yuko hapa Jf anijibu.
 
samahan wanajamvi kweli kweli nimetaman sana naomba kuunganishwa na wema sepetu nataman kumuoa. nasikia amekosa mtoto mi najua ntafanyaje apate mtoto tena akipata ata mapacha plz niunganishen naye au ye kama yuko hapa jf anijb. mi nina 29 yrs. niko serious. am rich enough.

ahaaaa kwan kumpata wema uwa ni sheeda? Wewe nenda kwenye mabango anapowekaga pic zake hawezi kosa.

Afu wewe katoto una laana yaani unataka kula na baba zako? Hujui ni mbunge mtarajiwa??? Utapelepwetwa bureeeeeee
 
Back
Top Bottom