KAOROGOMA
JF-Expert Member
- Jun 26, 2015
- 511
- 773
Samahani wanajamvi,
Kweli kweli nimetamani sana naomba kuunganishwa na Wema Sepetu natamani kumuoa. Nasikia amekosa mtoto mi najua nitafanyaje apate mtoto tena akipata hata mapacha. Mimi nina 29 yrs niko serious, Iam rich enough.
Please niunganisheni naye au yeye kama yuko hapa Jf anijibu.