Nataka kumuoa Wema Sepetu, mwenye contact yake au anayeweza kuniunganisha

ahaaaa kwan kumpata wema uwa ni sheeda? Wewe nenda kwenye mabango anapowekaga pic zake hawezi kosa.

Afu wewe katoto una laana yaani unataka kula na baba zako? Hujui ni mbunge mtarajiwa??? Utapelepwetwa bureeeeeee

Hahahahaha anataka kula na wakubwa huyooo
 
Samahani wanajamvi,

Kweli kweli nimetamani sana naomba kuunganishwa na Wema Sepetu natamani kumuoa. Nasikia amekosa mtoto mi najua nitafanyaje apate mtoto tena akipata hata mapacha.
Mimi nina 29 yrs niko serious, Iam rich enough.

Please niunganisheni naye au yeye kama yuko hapa Jf anijibu.
Dah....na mie kwenye contacts za Rihanna aniPM [emoji12]
 
Samahani wanajamvi,

Kweli kweli nimetamani sana naomba kuunganishwa na Wema Sepetu natamani kumuoa. Nasikia amekosa mtoto mi najua nitafanyaje apate mtoto tena akipata hata mapacha.
Mimi nina 29 yrs niko serious, Iam rich enough.

Please niunganisheni naye au yeye kama yuko hapa Jf anijibu.
Wema Sepetu
S. L. P. 5892
DSM kazi kwako
 
Back
Top Bottom