Mpangamji JF-Expert Member Joined May 12, 2010 Posts 540 Reaction score 140 Feb 25, 2011 #1 Wana Jf natafuta wapi naweza kupata AVG Internet Security 2011 ili ninunue. Asanteni in advance
Papizo JF-Expert Member Joined Feb 24, 2008 Posts 4,951 Reaction score 1,446 Feb 25, 2011 #2 Mkuuu kwa nini unataka kununua wakati zipo nyingi za free na key zake???au wewe hutaki za hivyo???na zote zinafanya kazi hazina utofauti kabisa.....
Mkuuu kwa nini unataka kununua wakati zipo nyingi za free na key zake???au wewe hutaki za hivyo???na zote zinafanya kazi hazina utofauti kabisa.....
Mpangamji JF-Expert Member Joined May 12, 2010 Posts 540 Reaction score 140 Feb 25, 2011 Thread starter #3 Papizo said: Mkuuu kwa nini unataka kununua wakati zipo nyingi za free na key zake???au wewe hutaki za hivyo???na zote zinafanya kazi hazina utofauti kabisa..... Click to expand... Nijuze mzee jinsi ya kufanya ili niitumie. mzee papizo tayari, mambo yamekuwa bwelele, hela niliyopanga kununulia nitachangia jamii forums
Papizo said: Mkuuu kwa nini unataka kununua wakati zipo nyingi za free na key zake???au wewe hutaki za hivyo???na zote zinafanya kazi hazina utofauti kabisa..... Click to expand... Nijuze mzee jinsi ya kufanya ili niitumie. mzee papizo tayari, mambo yamekuwa bwelele, hela niliyopanga kununulia nitachangia jamii forums
Papizo JF-Expert Member Joined Feb 24, 2008 Posts 4,951 Reaction score 1,446 Feb 25, 2011 #4 Mpangamji said: Nijuze mzee jinsi ya kufanya ili niitumie. mzee papizo tayari, mambo yamekuwa bwelele, hela niliyopanga kununulia nitachangia jamii forums Click to expand... Hamna tatizo kabisa mkuu na nafurahi sana kama umeweza kufanikiwa kupata hiyo,maana watu tunakula za bure kabisa me sijawahi kununua hata siku moja security ya aina yoyote ile maana zote nazitoa hapa JF
Mpangamji said: Nijuze mzee jinsi ya kufanya ili niitumie. mzee papizo tayari, mambo yamekuwa bwelele, hela niliyopanga kununulia nitachangia jamii forums Click to expand... Hamna tatizo kabisa mkuu na nafurahi sana kama umeweza kufanikiwa kupata hiyo,maana watu tunakula za bure kabisa me sijawahi kununua hata siku moja security ya aina yoyote ile maana zote nazitoa hapa JF