Nataka kununua AVG Internet Security 2011 (niko Dar es Salaam)

Mpangamji

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2010
Posts
540
Reaction score
140
Wana Jf natafuta wapi naweza kupata AVG Internet Security 2011 ili ninunue.

Asanteni in advance
 
Mkuuu kwa nini unataka kununua wakati zipo nyingi za free na key zake???au wewe hutaki za hivyo???na zote zinafanya kazi hazina utofauti kabisa.....
 
Nijuze mzee jinsi ya kufanya ili niitumie.
mzee papizo tayari, mambo yamekuwa bwelele, hela niliyopanga kununulia nitachangia jamii forums
 
Hamna tatizo kabisa mkuu na nafurahi sana kama umeweza kufanikiwa kupata hiyo,maana watu tunakula za bure kabisa me sijawahi kununua hata siku moja security ya aina yoyote ile maana zote nazitoa hapa JF
 
Back
Top Bottom