Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuuu kwa nini unataka kununua wakati zipo nyingi za free na key zake???au wewe hutaki za hivyo???na zote zinafanya kazi hazina utofauti kabisa.....
Nijuze mzee jinsi ya kufanya ili niitumie.
mzee papizo tayari, mambo yamekuwa bwelele, hela niliyopanga kununulia nitachangia jamii forums