Nataka kununua body spray, ipi itanifaa?

Nishakua addicted na Nivea body spray fresh active.. Miaka mia...
 
Halafu huo mziki mbona mkubwa sana......unajienjoy eeeeh......halafu feni umezima.......husikii joto.......?.....
We mwanamke kwa kuchunguza tu hujambo lol. Haya hiyo hapo sasa!
Feni yangu si nilishakwambia mbovu au umesahau? Punguza kula vichwa vya kuku wewe, ipo siku utamsahau mpaka mumeo ebo!!!!
 

Attachments

  • IMG_20160306_193444.jpg
    147.4 KB · Views: 182
nadhani kupulizia body spry hakuusiani na kunuka kwapa, mtoa mada hajasema kama anatafta dawa ya kunuka kwapa mbona mmeenda mbari?
Mbari ndo wapi na sie tukapaone
 
michango ya watu imenisaidia sana kwani mm nilikua ni kati ya watu waliokuwa wanapata shida sana wakat wa kununua spray..but leo nmenunua nikiwa na confidence
 
Nimenunua spray leo. Ningejua ningekuja kusoma hapa kwanza. Lakin hata niliyonunua ni nzuri, 5,200/=. Nakumat
 
michango ya watu imenisaidia sana kwani mm nilikua ni kati ya watu waliokuwa wanapata shida sana wakat wa kununua spray..but leo nmenunua nikiwa na confidence
Umenunua ipi mkuu.??
 
Dolby iko vizuri.. ila kwa sasa natumia Global man - Issey miyake ( body spray ) na piga na Givenchy - Pi

Hugs kila kona kutoka kwa warembo..[/QUOTE
Nitazitafuta hizo na mim nipewe ma hugs na mabebez
 

Umetoa ufafanuzi mzuri bro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…