Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mwanamke kwa kuchunguza tu hujambo lol. Haya hiyo hapo sasa!Halafu huo mziki mbona mkubwa sana......unajienjoy eeeeh......halafu feni umezima.......husikii joto.......?.....
Dolby
My favourite body sprayView attachment 327791
Mbari ndo wapi na sie tukapaonenadhani kupulizia body spry hakuusiani na kunuka kwapa, mtoa mada hajasema kama anatafta dawa ya kunuka kwapa mbona mmeenda mbari?
Lol..Tafuta jasmine
Hiyo ndio ninayotumia iko powaa.Dolby
ile inayotoa vumbi baada ya kukaukaNishakua addicted na Nivea body spray fresh active.. Miaka mia...
Kuna ile ilikuwa na mfuniko mweupe ni wa plastik lakin kama kioo. Tangu walipoibadilisha sitaki tena niveaNishakua addicted na Nivea body spray fresh active.. Miaka mia...
Umenunua ipi mkuu.??michango ya watu imenisaidia sana kwani mm nilikua ni kati ya watu waliokuwa wanapata shida sana wakat wa kununua spray..but leo nmenunua nikiwa na confidence
Haahaaa umenifurahisha sanaile inayotoa vumbi baada ya kukauka
Hilo jina tu limenitishaTumia cobra!
Dolby iko vizuri.. ila kwa sasa natumia Global man - Issey miyake ( body spray ) na piga na Givenchy - Pi
Hugs kila kona kutoka kwa warembo..[/QUOTE
Nitazitafuta hizo na mim nipewe ma hugs na mabebez
Ilikuwa ya ukweli sana enzi zetu sisi.Hilo jina tu limenitisha
kwa experience yangu (coz sina product maalum huwa nachange product ya perfume/spray pale tuu inapoisha, over 10 yrs since nimeanza kutumia ), harufu za body spray huwa hazidumu. They only last for two or three hrs, tena nazo ni chache like Royale Blue,Galaxy sIII, Bellagio, Fighting temptation few to mention. Lakini kama unataka kuwa na harufu inayolst longer bora ununue perfumes. Hizi i can guarantee u zinalast up to 24hrs. Kwa sasa ninatumia Galaxy perfume inakaa kwenye nguo hata siku tatu, hata nikiifua nguo na bado inakuwa ina harufu. Harufu yake iko poa sana sio kali ya kuumiza pua.
Nahis hata kopo lake linatishaaIlikuwa ya ukweli sana enzi zetu sisi.