Nataka kununua body spray, ipi itanifaa?

jf wenzangu mnaejua msaidien alichokiomba kama mnajua ili na sisi tusio jua tufaham kupitia yeye, msaada wa majibu ya kumpoteza sio mazuri. msilete ujinga ujinga kama tuko fb.
 
jf wenzangu mnaejua msaidien alichokiomba kama mnajua ili na sisi tusio jua tufaham kupitia yeye, msaada wa majibu ya kumpoteza sio mazuri. msilete ujinga ujinga kama tuko fb.

Umesoma kuanzia page ya kwanza au ??
 
tumia ubani bro
 
Asanteni wadau leo nimeenda kununua DORBY kwa kuheshimu michango ya wadau walioandika mapendekezo yao hapa kila mwez ntakuwa nanunua zile mlizonitajia hapa... Kwa mwezi huu wa tatu nitatumia DORBY...
 
ninazigo wa perfume za Smart ni ndogo lkn za ukweli kwa wadada na wakaka ni pm upate huo mzigo kwa 10k tu,utazikubali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…