Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmhh hiyo made in tanzania nin?Kulusumu hahahahaa
Nishaitumia hiyo nataka nibadilisheActive man
Sawa mkuu.....Situmiagi so sizifahamu
Ipi hyo?hiyo hata mm naitumia iko vizuri
jf wenzangu mnaejua msaidien alichokiomba kama mnajua ili na sisi tusio jua tufaham kupitia yeye, msaada wa majibu ya kumpoteza sio mazuri. msilete ujinga ujinga kama tuko fb.
unauliza jibu ili nikujibu nini mkuu.Umesoma kuanzia page ya kwanza au ??
unauliza jibu ili nikujibu nini mkuu.
Habari zenu wana JF,
Naomba ushauri wenu nataka kununua body spray ya kiume lakini sijui ipi ni nzuri nataka body spray isiyo na harufu kali na inayokaa muda mrefu angalau masaa 7 na kuendelea. Kama waifahamu body spray yoyote yenye sifa hizo na inauzwa bei kuanzia 5000 hadi 10000 naomba nitajie.
Asanteni
tumia ubani broHabari zenu wana JF,