Nataka kununua fuso namba A vp naweza dumu nayo kwa miaka mingap

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Habar wakuu poleni namajukumu,

Kama kichwa Cha habar kinavoeleza hapo juu nimepata fuso namba A nataka kuinunua..nataka kujua kwa fuso namba A naweza kudumu nayo kwa miaka mingap.
 
Habar wakuu poleni namajukumu Kama kichwa Cha habar kinavoeleza hapo juu nimepata fuso namba A nataka kuinunua..nataka kujua kwa fuso namba A naweza kudumu nayo kwa miaka mingap.
Tafuta fundi mzoefu mlipe akakague gari achana na namba. Au nenda NIT tafuta vehicle inspecta mlipe akague gari kama uko DSM. Ukiwa mikoani tafuta Vehicle inspector wa mkoa. Utapata jibu.
 
Gar ipo mbeya inauzwa ndio nataka ki nunua mim nipo kigwa tabora
 
Tafuta fundi mzoefu mlipe akakague gari achana na namba. Au nenda NIT tafuta vehicle inspecta mlipe akague gari kama uko DSM. Ukiwa mikoani tafuta Vehicle inspector wa mkoa. Utapata jibu.
Vehicle ispector akiikagua ikawa vizur inaweza dumu miaka mingap..nagharama za mavehicle inspector nikias gani
 
Una Umri Gani? Kama bado Kijana basi Unatafuta Kuzeeka mapema...Iwapo ni Mzee basi jua Unaenda kukaribisha Presha,Sukari ambavyo hata daktari hawezi Kukwambia Vimetokea Wapi..!
Tafuta biashara ya Kufanya,achana na Magari Mabovu..!
 
Jibu utapata toka kwake ni miaka mingapi. Na atakwambia nini kibovu na nini kizima na kuvitengeneza ni gharama gani. Gharama yake ni makubaliano yenu. Lakini ni bora ukague uone kama itakufaa ili kuepuka kuingia mkenge ukapoteza fedha zako.
 
Una Umri Gani? Kama bado Kijana basi Unatafuta Kuzeeka mapema...Iwapo ni Mzee basi jua Unaenda kukaribisha Presha,Sukari ambavyo hata daktari hawezi Kukwambia Vimetokea Wapi..!
Tafuta biashara ya Kufanya,achana na Magari Mabovu..!
Nigar kwa ajili ya kazi zangu
 
Habar wakuu poleni namajukumu Kama kichwa Cha habar kinavoeleza hapo juu nimepata fuso namba A nataka kuinunua..nataka kujua kwa fuso namba A naweza kudumu nayo kwa miaka mingap.
Hongera kwa hatua hiyo!
Gari kua namba A sio tatizo hata kidogo kama imetumzwa vizuri kwa fufanyiwa maintanance/service kwa wakati sahihi. Hivo, ushauri wangu kwako usisite kutumia fundi wako akague gari ajiridhishe usalama na uhai wa gari.
 
Niamini, kinachofuata utakua rafiki mzuri wa mafundi garage.

Imeshamrudishia hela mwenzako ,, na kuzaa sana .. Sikushauri sana
 
Hongera kwa hatua hiyo!
Gari kua namba A sio tatizo hata kidogo kama imetumzwa vizuri kwa fufanyiwa maintanance/service kwa wakati sahihi. Hivo, ushauri wangu kwako usisite kutumia fundi wako akague gari ajiridhishe usalama na uhai wa gari.
Samahani mzee,

Nia sio kwamba nakupinga, la hasha. Lakini kama mdau alivyosema. Number A na tena ni mbeya, na inaonyesha ina miaka 30.

Inamaana ni tokea enzi za TZ, KWA MANTIKI. Hiyo na kwa hali yetu tz sidhani kama inaweza kuwa kwenye hali bora kiasi hicho.

Again, samahani
 
Hongera kwa hatua hiyo!
Gari kua namba A sio tatizo hata kidogo kama imetumzwa vizuri kwa fufanyiwa maintanance/service kwa wakati sahihi. Hivo, ushauri wangu kwako usisite kutumia fundi wako akague gari ajiridhishe usalama na uhai wa gari.
Uhai wa gar namba A ikikaguliwa ikiwa vizur uhai wake miaka mingap kuanzia sasa
 
Mtafute fundi mzuri akague hiyo gari kuanzia injini, chasis kama imeungwa na body. Injini kama bado nzima gari itadumu muda mrefu zaidi kama itatunzwa vizuri.

Namba sio tatizo, Kuna Eicher namba D zipo Dar zinazidiwa na DCM namba A.
 
Mkuu namba ya gari haina shida yoyote maana kuna namba A zimesimama saafi ukilinganisha na namba D.
Lakini nikuulize, kwani umeuziwa bei gani ili tujaribu kufanya tathmini?
 
Yekaimiliki miez sita tu ndo anashida anaiuza kainunua kutoka kiwanda Cha chai
This sounds good. Ina maana hapa haikuwahi kuwa na shurba kali, lakini uzima wa gari ni service iliyokamilika na kutofuga ugonjwa
 
Tafuta fundi mzoefu mlipe akakague gari achana na namba. Au nenda NIT tafuta vehicle inspecta mlipe akague gari kama uko DSM. Ukiwa mikoani tafuta Vehicle inspector wa mkoa. Utapata jibu.
[emoji16][emoji16][emoji16] Hawa wanasiasa wanakagua gari gani Hawa labda tairi
 
Unachotakiwa kusema hapa ni unaipeleka kufanya kazi gani?

Kama kazi haitaiumiza gari, kagua gari ujiridhishe kisha lipia.

Tulileta 124 kutoka UK zikiwa kwenye hali nzuri sana, ila kwa shurba zilizopigishwa zimehudumu kwa miaka minne tu zikatupwa.

Kazi inayoenda kufanyika ndiyo ita determine maisha ya hiyo gari.

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom