GREAT VISIONAIRE
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 365
- 452
Nami ningemshauri viyo hivyo lakini kama kaamua mtoto akililia wembe mpe.Una Umri Gani? Kama bado Kijana basi Unatafuta Kuzeeka mapema...Iwapo ni Mzee basi jua Unaenda kukaribisha Presha,Sukari ambavyo hata daktari hawezi Kukwambia Vimetokea Wapi..!
Tafuta biashara ya Kufanya,achana na Magari Mabovu..!
Ajiandae kukosa usingizi usiku hofu ya gari kuanguka, kugonga ama break down, kupigwa mafuta na madereva, breakdown feki, kupigwa bao na matrafiki, wakusanya mapato sa hv wanataka mwenye gari utoe risit ya efd la sivyo faini mill 5.
Inavyoonesha hauna experience mpaka kuuliza