Nataka kununua fuso namba A vp naweza dumu nayo kwa miaka mingap

Nataka kununua fuso namba A vp naweza dumu nayo kwa miaka mingap

Hao sio wa kuwategemea sana maana mara nyingi wanafocus na vile vibavyoweza kuonekana kwa haraka.
Chukua fundi garage mtue hela nenda nae mkakague na kama utaweza omba hiyo gari iende garage kwake kabisaa
Thanks chief.
 
Gari ya biashara iwe bus au lori usithubutu kununua ya mkononi tena hasa iliyotumika zaidi ya miaka 4 hapa TZ,acha nayo hiyo gari mkuu itakufilisi
 
Gari ya biashara iwe bus au lori usithubutu kununua ya mkononi tena hasa iliyotumika zaidi ya miaka 4 hapa TZ,acha nayo hiyo gari mkuu itakufilisi
Si kweli mkuu, usimtishe wala kumuogopesha. Hata hizi hizi used za ulaya ni mara ngapi zinataga barabarani? Kikubwa ni ukaguzi yakinifu na kujiridhisha na ubora wa hiyo gari
 
Gari ya biashara iwe bus au lori usithubutu kununua ya mkononi tena hasa iliyotumika zaidi ya miaka 4 hapa TZ,acha nayo hiyo gari mkuu itakufilisi
Huo ni uwongo mkubwa ,Takwimu zenu mnazitoa wapi ??hivi una miliki kweli hata gari au unaleta uziefu wa vijiweni ??
Mbn mnapenda kujidai mnajua wakati mnaungua jua hamjui ....kama haujui chochote si unyamaze kuliko kutoa vitisho some time mnaboa sana

sent from HUAWEI
 
Back
Top Bottom