malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Tafuta fundi mzoefu mlipe akakague gari achana na namba. Au nenda NIT tafuta vehicle inspecta mlipe akague gari kama uko DSM. Ukiwa mikoani tafuta Vehicle inspector wa mkoa. Utapata jibu.Habar wakuu poleni namajukumu Kama kichwa Cha habar kinavoeleza hapo juu nimepata fuso namba A nataka kuinunua..nataka kujua kwa fuso namba A naweza kudumu nayo kwa miaka mingap.
Gar ipo mbeya inauzwa ndio nataka ki nunua mim nipo kigwa taboraTafuta fundi mzoefu mlipe akakague gari achana na namba. Au nenda NIT tafuta vehicle inspecta mlipe akague gari kama uko DSM. Ukiwa mikoani tafuta Vehicle inspector wa mkoa. Utapata jibu.
Vehicle ispector akiikagua ikawa vizur inaweza dumu miaka mingap..nagharama za mavehicle inspector nikias ganiTafuta fundi mzoefu mlipe akakague gari achana na namba. Au nenda NIT tafuta vehicle inspecta mlipe akague gari kama uko DSM. Ukiwa mikoani tafuta Vehicle inspector wa mkoa. Utapata jibu.
Jibu utapata toka kwake ni miaka mingapi. Na atakwambia nini kibovu na nini kizima na kuvitengeneza ni gharama gani. Gharama yake ni makubaliano yenu. Lakini ni bora ukague uone kama itakufaa ili kuepuka kuingia mkenge ukapoteza fedha zako.Vehicle ispector akiikagua ikawa vizur inaweza dumu miaka mingap..nagharama za mavehicle inspector nikias gani
Nigar kwa ajili ya kazi zanguUna Umri Gani? Kama bado Kijana basi Unatafuta Kuzeeka mapema...Iwapo ni Mzee basi jua Unaenda kukaribisha Presha,Sukari ambavyo hata daktari hawezi Kukwambia Vimetokea Wapi..!
Tafuta biashara ya Kufanya,achana na Magari Mabovu..!
Hongera kwa hatua hiyo!Habar wakuu poleni namajukumu Kama kichwa Cha habar kinavoeleza hapo juu nimepata fuso namba A nataka kuinunua..nataka kujua kwa fuso namba A naweza kudumu nayo kwa miaka mingap.
Samahani mzee,Hongera kwa hatua hiyo!
Gari kua namba A sio tatizo hata kidogo kama imetumzwa vizuri kwa fufanyiwa maintanance/service kwa wakati sahihi. Hivo, ushauri wangu kwako usisite kutumia fundi wako akague gari ajiridhishe usalama na uhai wa gari.
Uhai wa gar namba A ikikaguliwa ikiwa vizur uhai wake miaka mingap kuanzia sasaHongera kwa hatua hiyo!
Gari kua namba A sio tatizo hata kidogo kama imetumzwa vizuri kwa fufanyiwa maintanance/service kwa wakati sahihi. Hivo, ushauri wangu kwako usisite kutumia fundi wako akague gari ajiridhishe usalama na uhai wa gari.
Yekaimiliki miez sita tu ndo anashida anaiuza kainunua kutoka kiwanda Cha chaiNiamini, kinachofuata utakua rafiki mzuri wa mafundi garage.
Imeshamrudishia hela mwenzako ,, na kuzaa sana .. Sikushauri sana
This sounds good. Ina maana hapa haikuwahi kuwa na shurba kali, lakini uzima wa gari ni service iliyokamilika na kutofuga ugonjwaYekaimiliki miez sita tu ndo anashida anaiuza kainunua kutoka kiwanda Cha chai
[emoji16][emoji16][emoji16] Hawa wanasiasa wanakagua gari gani Hawa labda tairiTafuta fundi mzoefu mlipe akakague gari achana na namba. Au nenda NIT tafuta vehicle inspecta mlipe akague gari kama uko DSM. Ukiwa mikoani tafuta Vehicle inspector wa mkoa. Utapata jibu.