GREAT VISIONAIRE
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 365
- 452
Nami ningemshauri viyo hivyo lakini kama kaamua mtoto akililia wembe mpe.Una Umri Gani? Kama bado Kijana basi Unatafuta Kuzeeka mapema...Iwapo ni Mzee basi jua Unaenda kukaribisha Presha,Sukari ambavyo hata daktari hawezi Kukwambia Vimetokea Wapi..!
Tafuta biashara ya Kufanya,achana na Magari Mabovu..!
35mMkuu namba ya gari haina shida yoyote maana kuna namba A zimesimama saafi ukilinganisha na namba D.
Lakini nikuulize, kwani umeuziwa bei gani ili tujaribu kufanya tathmini?
Uku ni njia ya vumbi na kazi ni yamahindi mipunga kwenye njia za vumbi
Aisee kama bado hujalipia pause kwanza. Nicheki nikutafutie fuso kaliii engine 16D au 17D hutajutia. Ninao uzi humu JF juu ya kuwasaidia wanaotafuta Fuso
Inaenda kufanya kazi njia za vumbi kubeba mahindi na mpungaUnachotakiwa kusema hapa ni unaipeleka kufanya kazi gani?
Kama kazi haitaiumiza gari, kagua gari ujiridhishe kisha lipia.
Tulileta 124 kutoka UK zikiwa kwenye hali nzuri sana, ila kwa shurba zilizopigishwa zimehudumu kwa miaka minne tu zikatupwa.
Kazi inayoenda kufanyika ndiyo ita determine maisha ya hiyo gari.
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu nisaidie Ila zinapatikana kwa shingap kwahao umeowasaidia kutafutaAisee kama bado hujalipia pause kwanza. Nicheki nikutafutie fuso kaliii engine 16D au 17D hutajutia. Ninao uzi humu JF juu ya kuwasaidia wanaotafuta Fuso
Mkuu kwa wanaotokea hapa JF nimewasaidia watu watano na mtu wa sita leo hii mchana tunaenda kukagua gari nyingine. Budget yake ni finyu hivyo kama akishindwana bei na mwenye gari, basi nitashare na wewe hiyo gari.Sawa mkuu nisaidie Ila zinapatikana kwa shingap kwahao umeowasaidia kutafuta
Hapo mkuu zinakua zinapatika wapi kwahao unaowaunganisha nao wanakua maeneo gani wenye hizo gari wanazouzaMkuu kwa wanaotokea hapa JF nimewasaidia watu watano na mtu wa sita leo hii mchana tunaenda kukagua gari nyingine. Budget yake ni finyu hivyo kama akishindwana bei na mwenye gari, basi nitashare na wewe hiyo gari.
Kwa gari zote nilizowahi kuwaunganisha watu hazikuzidi bei ya 42M na ya bei ya chini ilikua 32M. SIJAWAHI KUPATA MALALAMIKO NA KAMA YAPO BASI WAJE HAPA
Mimi nipo Dar na magari ambayo nakuwa nayo mara nyingi huwa yanakua Dar au hata kama yanafanya safari ni lazma nikaguelie Dar.Hapo mkuu zinakua zinapatika wapi kwahao unaowaunganisha nao wanakua maeneo gani wenye hizo gari wanazouza
nina boss wangu ana grand vitara namba A,alinunua dt dobbie mpya kabisa 2007,mpaka leo ina km 100,000, haijaguswa injini wala gbox,hivyo namba A sio tatizo mkuu,kagua gari kwa makini,chukua upige hatua ktk maisha..Habar wakuu poleni namajukumu Kama kichwa Cha habar kinavoeleza hapo juu nimepata fuso namba A nataka kuinunua..nataka kujua kwa fuso namba A naweza kudumu nayo kwa miaka mingap.
Mkuu kuna jamaa angu anatafuta fuso tippa engine 16 au 17, unaweza kumtafutia bajeti yake ni 28m hadi 30m iwe na hari ya kuridhishaAisee kama bado hujalipia pause kwanza. Nicheki nikutafutie fuso kaliii engine 16D au 17D hutajutia. Ninao uzi humu JF juu ya kuwasaidia wanaotafuta Fuso
Mkuu kwa budget ya 30 kwa tipa inabana sana. Nicheki WhatsApp kwa namba 0755963775 ili ikitokea nikujulishe. Lakini hiyo budget ni finyu sana mkuu, nicheki tuyajengeMkuu kuna jamaa angu anatafuta fuso tippa engine 16 au 17, unaweza kumtafutia bajeti yake ni 28m hadi 30m iwe na hari ya kuridhisha
Hya nta mtumia number yake atakutafuta, ila bajeti yake ndo hiyoMkuu kwa budget ya 30 kwa tipa inabana sana. Nicheki WhatsApp kwa namba 0755963775 ili ikitokea nikujulishe. Lakini hiyo budget ni finyu sana mkuu, nicheki tuyajenge
Tutaangalia linalowezekana mkuu, hakuna kinachoshindikanaHya nta mtumia number yake atakutafuta, ila bajeti yake ndo hiyo
Poa atakutafuta kwa whatup yakoTutaangalia linalowezekana mkuu, hakuna kinachoshindikana
Hawa vehicle Inspector wanaweza kusaidia? Ninaelekea kununua gari lilitumiwa na Mtz.Tafuta fundi mzoefu mlipe akakague gari achana na namba. Au nenda NIT tafuta vehicle inspecta mlipe akague gari kama uko DSM. Ukiwa mikoani tafuta Vehicle inspector wa mkoa. Utapata jibu.
Hao sio wa kuwategemea sana maana mara nyingi wanafocus na vile vibavyoweza kuonekana kwa haraka.Hawa vehicle Inspector wanaweza kusaidia? Ninaelekea kununua gari lilitumiwa na Mtz.