Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,754
- 4,746
Thanks chief.Hao sio wa kuwategemea sana maana mara nyingi wanafocus na vile vibavyoweza kuonekana kwa haraka.
Chukua fundi garage mtue hela nenda nae mkakague na kama utaweza omba hiyo gari iende garage kwake kabisaa
Si kweli mkuu, usimtishe wala kumuogopesha. Hata hizi hizi used za ulaya ni mara ngapi zinataga barabarani? Kikubwa ni ukaguzi yakinifu na kujiridhisha na ubora wa hiyo gariGari ya biashara iwe bus au lori usithubutu kununua ya mkononi tena hasa iliyotumika zaidi ya miaka 4 hapa TZ,acha nayo hiyo gari mkuu itakufilisi
Huo ni uwongo mkubwa ,Takwimu zenu mnazitoa wapi ??hivi una miliki kweli hata gari au unaleta uziefu wa vijiweni ??Gari ya biashara iwe bus au lori usithubutu kununua ya mkononi tena hasa iliyotumika zaidi ya miaka 4 hapa TZ,acha nayo hiyo gari mkuu itakufilisi
Kwenye fuso, mawe yanatakiwa kuwa last option gari ikiwa inaaga mashindano[emoji16][emoji16]Ukiona wakati linamwaga mawe site unaweza jikuta unapiga kelele kama kichaa [emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO WX3LTE using JamiiForums mobile app