Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kluger na Harrier za mwanzo ni basically gari moja. Tofauti ni mwonekano tu na Harrier ina option ya engine ya 2.1l. So kama unachagua hapo wala usiumize kichwa. Angalia unalopenda mwonekano...
Nani alishinda?Sawa mkuu niliona youtube wanshindanisha dualish na subaru kwenye milima yenye tope
Yes. Kama sio mtu wa kupenda fashion nenda huko. Maana Harrier ya 2nd Gen (matako ya nyani) inasumbua saana mjini. Usije ukaitamani baada ya kununua hiyo ya mwanzo.Sawa mzee kwahiyo unashauri harrier na klugger
Yes, vile yeye ana 4WD nadhani na sio AWD kama Forester. Ila in general, Forester yuko vizuri.Dulias alikua matata
Yeah wame boost Sana biashara ya haya magariNawaona wachina wanatumia sana vijijini kufuatilia mapato yao ya kamali
Hiyo vipiSio kweli japo yote ni Nissan
Ni gari moja tu, tofauti ni masoko tu, inayouzwa soko la japan inaitwa Nissan Dualis na masoko mengine wanaita Nissan Qashqai.Sio kweli japo yote ni Nissan
New Model naona Kama wamejaza makorokoro mengi Sana. Imekaa Kama unaenda Kitchen PartyNissan Xtrail New Model
Gari ngumu ya nn Chief chukua gari nyepesi miaka 3 unatupa unachukua nyingineNawaona wachina wanadunda nazo sanaa vijijini pamoja na harrier old model inaonekana ngumu mnoo
hio 5.8M ndio bei yake baada ya kodi au vipi?Sijawahi kuikuta gereji wala bara barani ikiwa imezima. Wengi niliowaona nazo wamekaa nazo kwa muda, means wako satisfied..
Pia Quashqai sijawaona nazo watu wengi.
Chukua hiyo.
Used 2007 NISSAN DUALIS 20G FOUR/DBA-NJ10 for Sale BH363342 - BE FORWARD
Na wewe upepo wa dualis umekuingia? Huo ni upepo tu kama ilivyokuwa kwa crown! Mimi namshauri anunue toyota kwa kigezo tu cha gharama za matengenezo zipo chini kuliko hizo nyingine! Hata dualis zimejaa siku hizi.Achana na magari ya Toyota ambayo ukipaki mpaka ukasome plate number kulitambua gari lako.. Kaa kwenye Dualis.. Naiona kama iko poa.
Kama kobeNaipenda muonekano wake
Chukua huu ushauri... Achana na dualis, kama kigezo ni kupita popote chukua subaruKluger na Harrier za mwanzo ni basically gari moja. Tofauti ni mwonekano tu na Harrier ina option ya engine ya 2.1l. So kama unachagua hapo wala usiumize kichwa. Angalia unalopenda mwonekano...