Nataka kununua gari, ipi itafaa kati ya Kluger, Qashqai, Dualis ama Harrier Old Model

Nataka kununua gari, ipi itafaa kati ya Kluger, Qashqai, Dualis ama Harrier Old Model

Kluger na Harrier za mwanzo ni basically gari moja. Tofauti ni mwonekano tu na Harrier ina option ya engine ya 2.1l. So kama unachagua hapo wala usiumize kichwa. Angalia unalopenda mwonekano...

Sawa mkuu niliona youtube wanshindanisha dualish na subaru kwenye milima yenye tope
 
Sawa mzee kwahiyo unashauri harrier na klugger
Yes. Kama sio mtu wa kupenda fashion nenda huko. Maana Harrier ya 2nd Gen (matako ya nyani) inasumbua saana mjini. Usije ukaitamani baada ya kununua hiyo ya mwanzo.
 
Sio kweli japo yote ni Nissan
Hiyo vipi
Screenshot_2020-07-28-11-51-56-024_com.android.chrome.jpg
 
Achana na magari ya Toyota ambayo ukipaki mpaka ukasome plate number kulitambua gari lako.. Kaa kwenye Dualis.. Naiona kama iko poa.
Na wewe upepo wa dualis umekuingia? Huo ni upepo tu kama ilivyokuwa kwa crown! Mimi namshauri anunue toyota kwa kigezo tu cha gharama za matengenezo zipo chini kuliko hizo nyingine! Hata dualis zimejaa siku hizi.
 
Back
Top Bottom