Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Godoro moja kiwandani sawaWadau nataka kununua godoro 5 kwa 6 bei ya kiwandani inakuwaje? Kwa anaejua anielekeze please
Ahsnte sn mkuu,nitanunua kwa wakala sjuw inakuwa bei gani
Ahsnte sn mkuu,nitanunua kwa wakala sjuw inakuwa bei gani
Mkuu sasa we unataka ilimradi godoro tu au? Hujasema unataka lenye inch ngapi pia, kwahiyo hakuna atakaekupa majibu ya kueleweka maana we mwenyewe hujaelewekaWadau nataka kununua godoro 5 kwa 6 bei ya kiwandani inakuwaje? Kwa anaejua anielekeze please
Ahsnte mkuu,maelezo mazuri.Mkuu sasa we unataka ilimradi godoro tu au? Hujasema unataka lenye inch ngapi pia, kwahiyo hakuna atakaekupa majibu ya kueleweka maana we mwenyewe hujaeleweka
Kwanza huwezi kwenda kiwandani kutaka godoro moja ukadhani ndio utapata Kwa bei rahisi, utakachokutana nacho hutaamini
Nenda kiwandani ukiwa na special cases, labda wewe ni mrefu sana sasa futi 6 hazitoshi so unataka futi 7 au 8 na case zingine hapo sawa
Anyway, vipimo vitabaki kuwa hivo hivo unavotaka wewe, yani 5*6 ila kila kampuni ina bei yake sio kwamba kila godoro la vipimo hivo bei ni sawa
Ukitaka DODOMA QFL kuna bei yake
Ukitaka DODOMA ONE kuna bei yake
Ukitaka FURAHA kuna bei yake
Ukitaka COMFY kuna bei yake
Ukitaka TANFOAM kuna bei yake
Ukitaka TUF FOAM kuna bei yake
Ukitaka KILI FOAM kuna bei zake
Kwahiyo wewe nenda tu sehemu wanayouza magodoro Anza kuulizia kulingana na hela yako na matakwa yako, inawezekana unataka 5*6 ila inaweza ikawa nchi 4/6/8,10,12 kwahiyo utajua huko huko
Sawa mkuu alinunua kwa 150000 lakini lilikuwa ni nchi ngapi na kampuni gani?Ahsnte mkuu,maelezo mazuri.
Lkn kuna jamaa yangu ashawah nunua godoro 5 kwa 6 kwa bei ya 150000. Ilikuw Mwanz kna kiwanda kipo mkuyuni alinunulia hapo.
Pia ashawah nunua kiwandani kbs Dodoma hapo.huend kuna ahueni kdg kuliko dukan
Pia unaangalia na density yake yaani ujazoSku zote k2 kizuri ni chenye gharama,kwahyo angalia godoro linalouzwa bei ya juu hapo hilo ni mzuri bila kujali kampuni
Mmmh hivyo eeh?Sku zote k2 kizuri ni chenye gharama,kwahyo angalia godoro linalouzwa bei ya juu hapo hilo ni mzuri bila kujali kampuni