Nataka kununua godoro

Nataka kununua godoro

Wadau nataka kununua godoro 5 kwa 6 bei ya kiwandani inakuwaje? Kwa anaejua anielekeze please
Mkuu sasa we unataka ilimradi godoro tu au? Hujasema unataka lenye inch ngapi pia, kwahiyo hakuna atakaekupa majibu ya kueleweka maana we mwenyewe hujaeleweka

Kwanza huwezi kwenda kiwandani kutaka godoro moja ukadhani ndio utapata Kwa bei rahisi, utakachokutana nacho hutaamini

Nenda kiwandani ukiwa na special cases, labda wewe ni mrefu sana sasa futi 6 hazitoshi so unataka futi 7 au 8 na case zingine hapo sawa

Anyway, vipimo vitabaki kuwa hivo hivo unavotaka wewe, yani 5*6 ila kila kampuni ina bei yake sio kwamba kila godoro la vipimo hivo bei ni sawa

Ukitaka DODOMA QFL kuna bei yake
Ukitaka DODOMA ONE kuna bei yake
Ukitaka FURAHA kuna bei yake
Ukitaka COMFY kuna bei yake
Ukitaka TANFOAM kuna bei yake
Ukitaka TUF FOAM kuna bei yake
Ukitaka KILI FOAM kuna bei zake

Kwahiyo wewe nenda tu sehemu wanayouza magodoro Anza kuulizia kulingana na hela yako na matakwa yako, inawezekana unataka 5*6 ila inaweza ikawa nchi 4/6/8,10,12 kwahiyo utajua huko huko
 
Ahsnte mkuu,maelezo mazuri.
Lkn kuna jamaa yangu ashawah nunua godoro 5 kwa 6 kwa bei ya 150000. Ilikuw Mwanz kna kiwanda kipo mkuyuni alinunulia hapo.
Pia ashawah nunua kiwandani kbs Dodoma hapo.huend kuna ahueni kdg kuliko dukan
 
Sawa mkuu alinunua kwa 150000 lakini lilikuwa ni nchi ngapi na kampuni gani?

Ni Sawa na simu tu haiwezekani we kisa umeona mwenzio alienda kariakoo akanunua 100000 basi nawewe ukatembea na hiyo bei bila kujua alinunua simu gani na yenye sifa zipi

Issue sio bei bali ni size ya godoro na kampuni ya godoro, mfano kwa godoro Dodoma QFL Kwa hiyo 150000 ambayo ni 5*6 alafu inch 6 hupati

ila hiyo hiyo 150000 unaweza kupata inch 6 ya kampuni zingine tena 5*6, na kumbuka bei hazishuki bali zinapanda, ukitaka urahisi we muulize huyo rafiki yako ye alinunua godoro la kampuni gani na inchi ngapi

Na watu wanaenda viwandani kufata bidhaa sio Kwa ajili ya bei nzuri bali uhakika wa hiyo bidhaa, ukienda kiwandani utapewa bei ya reja reja kwakuwa wewe sio muuza magodoro
 
Karibu upate godoro kwetu kwa bei poaaa usafiri bure popote ndani ya dar

bei hizi

𝗢𝗙𝗙𝗔 𝗭𝗔 𝗫𝗠𝗔𝗦 𝗡𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗞𝗔 𝗠𝗣𝗬𝗔 𝗧𝗨𝗔𝗚𝗜𝗭𝗘 𝗚𝗢𝗗𝗢𝗥𝗢 𝗨𝗟𝗘𝗧𝗘𝗪𝗘 𝗣𝗢𝗣𝗢𝗧𝗘 𝗗𝗔𝗥 𝗕𝗨𝗥𝗘
𝗠𝗔𝗟𝗜𝗣𝗢 𝗟𝗜𝗞𝗜𝗪𝗔 𝗟𝗜𝗠𝗘𝗦𝗛𝗔𝗙𝗜𝗞𝗔
0763542515

𝐀𝐈𝐒𝐄𝐄 𝐔𝐒𝐈𝐊𝐔𝐁𝐀𝐋𝐈 𝐊𝐔𝐈𝐊𝐎𝐒𝐀 𝐇𝐈𝐈 𝐉𝐈𝐏𝐀𝐓𝐈𝐄 𝐆𝐎𝐃𝐎𝐑𝐎 𝐊𝐖𝐄𝐓𝐔 》》》》
𝐔𝐋𝐄𝐓𝐄𝐖𝐄 𝐌𝐏𝐀𝐊𝐀 𝐔𝐋𝐈𝐏𝐎 𝐏𝐎𝐏𝐎𝐓𝐄 𝐍𝐃𝐀𝐍𝐈 𝐘𝐀 𝐃𝐀𝐑 𝐁𝐔𝐑𝐄𝐄𝐄𝐄!!
𝐜𝐚𝐥𝐥/ 𝐬𝐦𝐬 𝟎𝟕𝟔𝟑𝟓𝟒𝟏𝟓𝟏𝟓

UNAHITAJI GODORO KWA BEI POA FOLLOW HII PAGE Magodoro_bei_poa SIMU NAMBA 0763542515 SMS/WHATSAPP TUPO DSM

GODORO KAMPUNI ZOTE ZIPO KWA BEI POA NA POPOTE UNALETEWA BURE
NDANI YA DAR

[emoji116]GODORO ZETU NI HIZI[emoji116]

GODORO VITA FURAHA 5X6[emoji736] HIZI[emoji116][emoji116]

INCHI 6 150000 TU
INCHI 8 180000 TU
INCHI 10 265000 TU
INCHI 12 330000 TU

[emoji736] VITA FOAM FURAHA[emoji736]
GODORO 6X6

INCHI 6 NI 195000
6X6 INCHI 8 NI 245000
6x6 INCHI 10 NI 320000
6x6 INCHI 12 NI 430000

4x6 VITA foam furaha

4x6 inchi 6 130000
4x6 inch 8 ni 155000

QFL DODOMA NA COMFY PLAIN (KAWAIDA)
[emoji736] GODORO ZA 5X6 [emoji736]

INCHI 6 NI 195000
INCHI 8 NI 260000
INCHI 10 NI 320000
INCHI 12 NI 385000

4x6 dodoma qfl na comfy

4x6 inchi 6 ni 180000
4x6 inchi 8 ni 235000
4x6 inchi 10 ni kwa #order

[emoji451]QFL NYEUPE KASHATA (DRAFT NYEUPE) 5X6[emoji736]

INCHI 8 NI 280000
iNCHI 10 5x6 350000
INCHI 12 5x6 NI 390000
ZIPO SPRING NA ORTHOPEDIC PIA ORODHA MWISHONI

[emoji451]VITA SUPREME INAFAA AFYA MGONGO NA TANFOAM [emoji451]5X6[emoji736]

5X6 INCHI 6 NI 280000
5X6 INCHI 8 UNALIPATA KWA 350000
5X6 INCHI 10 NI 450000
5X6 INCHI 12 550,000

[emoji736] NA 6X6 [emoji736]

INCHI 8 NI 450,000
6X6 INCHI 10 NI 550,000
NA 6X6 INCHI 12 NI 650000 FREE DELIVERY POPOTE NDANI YA DAR

SPRING MATTRESS

5X6 INCHI 8 550,000
5X6 INCHI 10 590000

6X6
INCHI 8 NI 640000
INCHI 10 NI 715,000

ORTHOPEDIC MATTRESS

5X6 INCHI 6 490000
5X6 INCHI 8 580000

6X6

INCHI 8 6900000

BEST ARUSHA $ ARUSHA DELUXE ZIPO & SUPER BANCO FOLLOW PAGE YETU Magodoro_bei_poa

USAFIRI NI BURE NDANI YA DAR ES SALAAM MALIPO LIKISHAFIKA ULIPO
FOLLOW Magodoro_bei_poa

KING SIZE
6X7 AU 7X7 NI KWA ORDER

#GODORO ZOTE # KAMPUNI ZOTE
#0763542515
 
Back
Top Bottom