Nataka kununua Heavy Motor Bike aina ya Kawasaki ila ushauri ninaopata kwa walionizunguka ndio napata uoga

Kaka Paschal salam!

Mimi ni kijana tu wa miaka chini ya 30. Napenda bikes sana japo sina uzoefu na nataka kujaribu practically. Naomba uniambie kama itakuwa ni vizuri nikianza na baiskeli kwanza then baadaye ndipo nije motorbike. Itakuwa vizuri?
Yes that is the best!, start small, anza na baiskeli, mimi primary school nilikuwa na baiskeli, then kwenye bike anza na off roads za 250cc then njoo 500cc, 750cc ndipo uje kwenye ile midude ya 1000cc +!.

Tatizo la bike ina Logan vibaya na ulevi wake ni mbaya, ushauri wangu kwa barabara zetu ishia 750cc, ukipanda zaidi ya hapo I'm not sure if you will be so lucky kama mimi to live to tell!. Wengi bongo wenye midude ya zaidi ya 750 ni foreigners mostly wazungu. Kuna mzungu mmoja wa Ubalozi wa Marekani ameshuka na Harley Davidson trike 1,800 cc!, hiyo kitu ni mwake mwake!.
P
 
Ahsante na kongole sana kaka Paschal kwa exposure yako kwenye industry hii ya bikes. Huyo Mzungu ni hatari sana, 1800CC duuuh. Anaendeshea wapi sasa kwa hapa Dar?
 
Anaishi Masaki, nadhani ni home office home!, labda week ends beach!. Hata mimi nimepanga kushusha 1,800cc at 60!. Ni kitu cha retirement, I have been a rider all my life, nimepanga kustaafu na kitu cha heshima!. Itakuwa sio bike ya usafiri ni bike ya enjoyment only!.

P
 
Kwani si wapo watu wanalala na asubuhi hawaamki? Kifo kipo tu penda usipende. Je,hakuna watu wanaomiliki hizo pikipiki kubwa na hawajafa? Sioni sababu ya kutazamia kwa waliopata ajali, pia ambao hawajawahi wapo. Kikubwa uache manjonjo tu,na jaribu kusoma barabara ina hali gani.
 
Yes that is the best!, start small, anza na baiskeli, mimi primary school nilikuwa na baiskeli, then kwenye bike anza na off roads za 250cc then njoo 500cc, 750cc ndipo uje kwenye ile midude ya 1000cc +!.

Tatizo la bike ina Logan vibaya na ulevi wake ni mbaya, ushauri wangu kwa barabara zetu ishia 750cc, ukipanda zaidi ya hapo I'm not sure if you will be so lucky kama mimi to live to tell!. Wengi bongo wenye midude ya zaidi ya 750 ni foreigners mostly wazungu. Kuna mzungu mmoja wa Ubalozi wa Marekani ameshuka na Harley Davidson trike 1,800 cc!, hiyo kitu ni mwake mwake!.
P
Suala ni CC au Horsepower? Kuna bikes zina cc ndogo ila horsepower kubwa.
 
Anaishi Masaki, nadhani ni home office home!, labda week ends beach!. Hata mimi nimepanga kushusha 1,800cc at 60!. Ni kitu cha retirement, I have been a rider all my life, nimepanga kustaafu na kitu cha heshima!. Itakuwa sio bike ya usafiri ni bike ya enjoyment only!.

P
Hivi haya madude spares na mafundi wapo kweli?
 
Yupo mzee jirani yetu alihamishwa kikazi mbali kidogo hivyo ikambidi atafute usafiri,

Hakuomba ushauri akavuta boxer mpya na maganda yake daah alafu ni mzee wa makamo.

Haijapita mwezi siku moja tukapigiwa simu kapata ajali kasukumiwa kwenye mtaro na mlevi, kuja kumuona uso umevimba macho hayaonekani na kama sio helmet sijui ingekuwaje

Saivi anataka kununua kigari.
 
Habari zenu wadau....bila shaka ni wazima wa Afya.

Kuna jambo linanitatiza naombeni ushauri wenu. Nilipanga mwaka 2023 angalau ikifika tarehe 01 January niwe na kausafiri kangu (Gari) walau isiyozidi Mil 13.

Sasa kutokana na mambo kutokwenda sawa nimejikuta nina kama Mil 7 mkononi...sasa nikaona wazi wazo langu haliwezi kutoboa, hata nikataka kuchukua kagari mtaani katakuwa ka hovyo [emoji26]

Wazo nikalihamishia kwenye bike off course napenda sana piki piki.

Kwa amount hiyo kwa yule mwanangu wa zanzibar sele mapikipiki napata kawasaki safi kabisa na chenchi kidogo inabaki [emoji16]

Sasa nikasema niulize wadau wawili watatu wanipe maoni yao....kila ninaemshirikisha anasema bro naona umeyachoka maisha [emoji26][emoji24] huna muda tutakuzika achana na hayo mavitu....sasa naona ni bora nisingeulizwa nimeingiwa na hofu kubwa jambo ninaliuliza hata gari unaweza pasta ajali kikubwa ni umakini tu...

Sasa naombeni ushauri wenu nipo so confused [emoji53]
View attachment 2450153

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Usiwe mkaidi achana na Hilo wazo
 
Nunua gari used mkuu, hiyo milioni saba bila haraka utapata gari nzuri ya kuanzia, bike nunua kama ni unazipenda kutoka nayo mara moja moja
 
Yupo mzee jirani yetu alihamishwa kikazi mbali kidogo hivyo ikambidi atafute usafiri,

Hakuomba ushauri akavuta boxer mpya na maganda yake daah alafu ni mzee wa makamo.

Haijapita mwezi siku moja tukapigiwa simu kapata ajali kasukumiwa kwenye mtaro na mlevi, kuja kumuona uso umevimba macho hayaonekani na kama sio helmet sijui ingekuwaje

Saivi anataka kununua kigari.
dah, nimecheka kama mazuri vile
 
Back
Top Bottom