Nataka Kununua Kiwanja Zanzibar

Kasome vizuri Katiba ya JMT na historia darasa la nne la zamani (somo hili limefutwa kwy mtaala wa sasa wameweka civic & moral), utakubaliana nami kwamba hatujaungana kwa kila kitu. Rejea pia hati ya muungano.
 
Kwani wewe ni muislamu? Kama sio thubutu ndo utajua kwamba Nyerere ndo alie jipendekeza kwa Zanzibar
Kwahiyo Mkristo hawezi kuwa rais Zanzibar hadi dunia itoweke? Au hadi apindue rais Muislamu? Na je, rais wa Zanzibar kikatiba ya muungano anapindulika?
 
Hahahaaaa reference nzuri hiyo, lbd Wakristo wanakula ile kitu haram kwa wenzao. Imani zinahitaji uvumilivu.
 
Duh!
 
Hakuna kitu nakichukia kama haka kamuungano uchwala,, natamani kavunjikilie mbali,, hakuna manufaa yoyote anayopata Mtanganyika zaidi ya kuwabeba Wazanzibar wasiobebeka,,
 
Sema hivi waislamu wa bara ni wanafiki tu, ila hawawapendi wa kurustu majumbani kwao, ni kwasbb ya ujilani na mambo ya kazi, ila baadhi ya wa kuristu wana chuki ya kudumu na dini ya uislamu
Ila zaidi ya 70% ya wateja wa bidhaa za Bakhresa na MO ni Wakristu na dini zingine zisizo za kiislamu. Kwa mantiki hiyo basi kumbe ulaji (consumption) ya Wakristu ndiyo unampaisha MO kuongoza Afrika kwa utajiri (Billionaire).

Kumbe huenda ndiyo sbb Bakhresa na MO wanaogopa kujihusisha na udini. Baghosha!
 
Bara idadi ya watu wa kutengeneza soko la bidhaa zake ni kubwa kuliko Znz. Lkn 25% ya ardhi ya bara ndiyo inakaliwa na binadamu. Kwanini ahangaike km kikongwe mwenye macho mekundu?
 
Waislamu wa kule sio wazuri
 
Mapadre walioshambuliwa kwa tindikali. Joke! Joke!
Tiliambiwa FBI wamekuja kuchunguza,ikipewa matokeo!?..uliona kiongozi yoyote anatolea macho Tena!?..mbona raia mwema liliandika Sana kwamba walidhulumiana wenyewe kwenye mtandao wao dili!!?
 
Idris abdulwakil,rais wa Zanzibar aliingia kanisani kujionea makanisa yanajaa kiasi gani jumapili..unaishi Zanzibar mji gani!?
Kama wewe ni Muislam wa Zanzibar una utu huo wa kujali binadamu regardless of their religion jiongelee wewe kama wewe ila usiwatetee hao Waislam wengine wa Zanzibar ni WABAGUZI SANA.

Waislam wa bars hawako hivyo, hata wakipishana kidg na Wakristo wanayajenga kindugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…