Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,636 Reaction score 6,178 May 27, 2022 #41 Njoo nikuuzie changu pale Bububu.
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 20,419 Reaction score 39,217 May 27, 2022 #42 Mwisho wa mwaka nataka niende zenji..nikanunue hata 20×20 niweke makazi yangu huko. Naombeni mwongozo jinsi ya kupata kiwanja zenji. #MaendeleoHayanaChama
Mwisho wa mwaka nataka niende zenji..nikanunue hata 20×20 niweke makazi yangu huko. Naombeni mwongozo jinsi ya kupata kiwanja zenji. #MaendeleoHayanaChama
H HustlerD Senior Member Joined May 15, 2021 Posts 131 Reaction score 428 May 27, 2022 #43 Njoo nikuuzie cha kwangu, kipo pale Jumbi, bei kitonga nirudi zangu bongo, mm siyo wa kunywea bia hapa kila siku,
Njoo nikuuzie cha kwangu, kipo pale Jumbi, bei kitonga nirudi zangu bongo, mm siyo wa kunywea bia hapa kila siku,