Nataka Kununua Kiwanja Zanzibar

Mwisho wa mwaka nataka niende zenji..nikanunue hata 20×20 niweke makazi yangu huko.

Naombeni mwongozo jinsi ya kupata kiwanja zenji.

#MaendeleoHayanaChama
 
Njoo nikuuzie cha kwangu, kipo pale Jumbi, bei kitonga nirudi zangu bongo, mm siyo wa kunywea bia hapa kila siku,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…