Karibu Kahama mkuu njoo na stoo nitakupa uhifadhi ila unipe nami dili la soko mahali pa kuuzia
Mchele kuhifadhiwa hauharibiki?
Dah... Hatari sanaMh! dunia ya Leo siyo ya kuamini mtu hivi hivi,chako kinakutoa uhai,miaka ya nyuma niliwahi kununua gunia za mpunga 500 nikaweka stoo za hawa watu wenye machine za kukoboa,chakushangaza muda uliposonga sana nikisubiri bei ipande, mwenye stoo akashikwa na tamaa za kutaka kuniua ili amiriki mpunga wangu ,nikiwa sijui hili wala lile,siku moja usiku saa sita nasikia watu wanagonga hodi kwangu nami bila kujua nikafungua mlango ,
Si kuamini macho yangu,nikapigwa chini ya ulinzi nakuambiwa tumetumwa tuje tukuue na bwana x, na ametupatia milioni moja,jamaa wakadai ili wasiniue niwape milioni moja na nusu wasiniue,nami bila hiyana ilibidi nifanye hivyo na baadae wakaniacha.
Ili kuamini ikiwa kweli wale watu walitumwa na jamaa au lah kesho yake kwenye muda wa saa nne jamaa mwenye stoo akiamini kuwa nimeshauawa nilienda mashineni na kukuta ameshaanza kukoboa mpunga wangu maana alikuwa na uhakika kuwa wameshanitoa uhai
Ogopa sana binadamu ,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa ndugu ila tunatofautiana sana ndugu yangu si kila mtu anawaza kufanya ubaya wa namna hiiMh! dunia ya Leo siyo ya kuamini mtu hivi hivi,chako kinakutoa uhai,miaka ya nyuma niliwahi kununua gunia za mpunga 500 nikaweka stoo za hawa watu wenye machine za kukoboa,chakushangaza muda uliposonga sana nikisubiri bei ipande, mwenye stoo akashikwa na tamaa za kutaka kuniua ili amiriki mpunga wangu ,nikiwa sijui hili wala lile,siku moja usiku saa sita nasikia watu wanagonga hodi kwangu nami bila kujua nikafungua mlango ,
Si kuamini macho yangu,nikapigwa chini ya ulinzi nakuambiwa tumetumwa tuje tukuue na bwana x, na ametupatia milioni moja,jamaa wakadai ili wasiniue niwape milioni moja na nusu wasiniue,nami bila hiyana ilibidi nifanye hivyo na baadae wakaniacha.
Ili kuamini ikiwa kweli wale watu walitumwa na jamaa au lah kesho yake kwenye muda wa saa nne jamaa mwenye stoo akiamini kuwa nimeshauawa nilienda mashineni na kukuta ameshaanza kukoboa mpunga wangu maana alikuwa na uhakika kuwa wameshanitoa uhai
Ogopa sana binadamu ,
Sent using Jamii Forums mobile app
Nunua Mpunga au mahindi kipindi cha mavuno kisha uza Desemba Januari Februari ukipenda kununua mpunga naweza kupa mtu MorogoroPoleni wanaJF kwa majukumu na mapambano ya CORONA tukumbuke kufuata maelezo ya wataalam.
Kama kichwa cha Habari kinavyoele naomba ushauri wenu wataalam wa Biashara ya Mazao. Nataka kununua Michele wa MWAKA huu niuhifadhi niuze hapo baadae je, kuna athari yeyote?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee ...wewe itakuwa umezoea biashara ya kubet,bangi au Unga....yaani Hapo huoni ni faida!????Hivi unanunua mchele let say kwa 1000@kg! May...then dec uje uuze kwa 1800-2000@kg! Means nahangaikia 1000@kwa miezi yote hiyo!!!!!!!!
Tuelezee ukichaa wake mkuu tusije tukawa tunatumia MAGAZIJUTO, kutengeneza faida!Ungejua nishawahi uza mamchele ya Ifakara!!! hahaa biashara kichaa hii
Tuelezee ukichaa wake mkuu tusije tukawa tunatumia MAGAZIJUTO,kutengeneza faida!
Mwezi wa Sita kilo Sh.1000/January kilo Sh.2000/ miezi Sita tufaida 100
% hapo naondoa gharama za uendeshsaji...!Faida tayari.
Mchele kuhifadhiwa hauharibiki?
Ungejua nishawahi uza mamchele y ifakara!!!hahaa biashara kichaa hii
Masoko yako yalikua wapi?
Kwa mjini hapa wauza mchele na nafaka nyingine wako mbali sana, haswa wale wanaoifanya biashara hiyo kwa ukubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Anzia tons nyingi sio eti kilo 300!... Jaza semi atleast..! Nilikua hapa hapa
U gat my point...sasa ukikusanya kilo 600 sanasana utasumbukia 2-3m for 6mths! Ndio ukichaa ninaomanisha mie
U gat my point...sasa ukikusanya kilo 600 sanasana utasumbukia 2-3m for 6mths! Ndo ukichaa naomanisha mie
Nina uzoef sana na hiyo biashara,mwaka jana nlinunua gunia 200 mwezi wa sita kwa sh 60000@ gunia nikauza mwezi wa pili mwaka huu kwa 90000 kwa gunia,kwakweli faida yake ni ndogo ukitoa cost zote japo huwezi kupata hasara!
Biashara mda mwingine zina mitihani sana
Halafu kuna ishu nilitaka kuchonga na wewe...fanya kama unanichek hvi
Sent using Jamii Forums mobile app