Kama unachanel ya wateja mtoa mada uza tu huo mchele hayo mambo ya kusubiria bei ipande itakupotezea pesa kwan mchele kila siku watu wanakula watajibana kwenye kuvaa na kujenga lakn syo kwenye kula binafsi nipo lindi vijijin huku ninauza mchele kwa rejareja kuna bosi mmoja anachukua mchele ifakara na kuupeleka masasi huwa anashusha humo njian kwa wateja yaan mwaka mzima anakimbiza tu alafu anapita na semi mzima then baada ya wiki unashangaa tena anapita na semi so hii biashara ya mchele inafaida sana kwa hawa wazee wa jumla na tena ukiwa h
Kama huna tamaa ya kupata faida kubwa utakimbiza sana.