Nataka kununua mchele wa mwaka huu halafu niuuze baadaye

Nataka kununua mchele wa mwaka huu halafu niuuze baadaye

Mh! dunia ya Leo siyo ya kuamini mtu hivi hivi,chako kinakutoa uhai,miaka ya nyuma niliwahi kununua gunia za mpunga 500 nikaweka stoo za hawa watu wenye machine za kukoboa,chakushangaza muda uliposonga sana nikisubiri bei ipande, mwenye stoo akashikwa na tamaa za kutaka kuniua ili amiriki mpunga wangu ,nikiwa sijui hili wala lile,siku moja usiku saa sita nasikia watu wanagonga hodi kwangu nami bila kujua nikafungua mlango ,

Si kuamini macho yangu,nikapigwa chini ya ulinzi nakuambiwa tumetumwa tuje tukuue na bwana x, na ametupatia milioni moja,jamaa wakadai ili wasiniue niwape milioni moja na nusu wasiniue,nami bila hiyana ilibidi nifanye hivyo na baadae wakaniacha.

Ili kuamini ikiwa kweli wale watu walitumwa na jamaa au lah kesho yake kwenye muda wa saa nne jamaa mwenye stoo akiamini kuwa nimeshauawa nilienda mashineni na kukuta ameshaanza kukoboa mpunga wangu maana alikuwa na uhakika kuwa wameshanitoa uhai

Ogopa sana binadamu ,

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi mkuu,binadamu wamekuwa wanyama hasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna biashara zingine mtu kwa siku 7 anauhakika wa kupata laki 8 faida...every week...sasa kwa mwez huyu ana 2.4m...sasa ww umeweka mchele wako kwa miez hiyo yote uje uambulie 700@kg! Sijajua kwanini watu hatutaki badililka..wewe nunua mchele uza ..nunua uza hata ukipata faida ya 200@/sio mbaya!umedadavua vyema kbs
tufungue akili mkuu biashara gani hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu, naomba msaada wa ushauri kwa mtu anayetaka kuanza biashara hiyo kwa mtaji mdogo wa 2M, aifanyeje. Nataka kufanya kwa kuuza hapa Dodoma. Pia kwa mwenye wazo mbadala ambalo linaweza likanifaa kuliko hiyo business nakaribisha.

Nahitaji muongozo kwa kuwa mtaji wangu ni mdogo, ni rahisi kukaitika hasa ukizingatia kwa mtaji huo huwezi nunua mzigo wa kujaza lori peke yako. Thank you in advance

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: amu
Kuna biashara zingine mtu kwa siku 7 anauhakika wa kupata laki 8 faida...every week...sasa kwa mwez huyu ana 2.4m...sasa ww umeweka mchele wako kwa miez hiyo yote uje uambulie 700@kg! Sijajua kwanini watu hatutaki badililka..wewe nunua mchele uza ..nunua uza hata ukipata faida ya 200@/sio mbaya!umedadavua vyema kbs
Mfano ni biashara ipi na ipi hiyo ambayo kwa wiki faidi ni hiyo 700,000/= ambayo pia mtaji wake unalingana na ule unaoweza kutumbukiza kwenye biashara ya mchele kwa idadi ya hiyo miezi?
 
Kuna watu humu wanakatisha tamaa kabisaa hakuna biashara isiyokuwa na changamoto Cha msingi ni uvumilivu, Mimi hii biashara ya mchele nafanya sana hiyo interval ya miezi ndio nadeal nayo tena inalipa sana, nunua mpunga mzuri na uliokauka Bei inategemea ila Mimi nilipo shilingi inazaa shilingi weka stock subiri Bei ikae sawa then koboa mchele uza utaleta mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mashine ya kukoboa mpunga ndiyo hiyo inayotumika kukoboa mahindi?
 
Nakushauli nunua mpunga tena mtafute mtu mzoefu ili ucje kuuuziwa mpunga mbaya ,ukishanunua mpunga unaweza stooo kunanzi mwezi WA Pili unauza mm ninauzoefu sana na hiyo biashara nilikuwa naifanya miaka ya 2010 kuhifadhi mchele changamoto nyingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwanini uliacha mkuu ?au ulikutana na changamoto zipi zilizokupelekea Kuacha.?naamini naweza jifunza kitu ili siku za usoni tuweke pesa katika kuhifadhi mahindi na mpunga n then kuja kuuza miezi ya mbeleni


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Kwanini uliacha mkuu ?au ulikutana na changamoto zipi zilizokupelekea Kuacha.?naamini naweza jifunza kitu ili siku za usoni tuweke pesa katika kuhifadhi mahindi na mpunga n then kuja kuuza miezi ya mbeleni


Sent from my iPad using JamiiForums
Nilihama kule ndio maana nikaacha, kuhifandi mpunga NI rahisi changamoto kubwa panya tu wanakula mpunga lkn hawawezi kumaliga gunia zima , changamoto ya mahindi ni kuharibiwa na wadudu maana unaweza kuuziwa sawa feki ukaweka mwisho WA cku mahindi yakabunguliwa, ninja vyote uweke hakuna kitu kisichoku na changamoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Tembea uone"
Mfano ni biashara ipi na ipi hiyo ambayo kwa wiki faidi ni hiyo 700,000/= ambayo pia mtaji wake unalingana na ule unaoweza kutumbukiza kwenye biashara ya mchele kwa idadi ya hiyo miezi?
Wangari Maathai uko sawa sana mawazo yako. Nakuunga mkono 100%. Hii biashara nimeshauriwa na watu wengi kwa muda mrefu ila kila nikichanganya na akili zangu naona haiji kabisa. Inafaa muajiriwa ambaye kabanwa sana kazini kwake. Ila kwa sisi tulio na muda sio sahihi.

Wazo lako kununua na kuuza liko sahihi kabisa. Faida ya Tsh 700,000/= kwa wiki ni ndogo tena kwa biashara ya kawaida sana. Ukikaza na kuwa na kasi nzuri waweza fanya vitu vingi ikiwemo kuuza nafaka na kupiga noti ndefu sana.
 
Habari zenu wadau, Nahitahi Mtu/watu wa kufanya nao Biashara, yaan nikifikisha Mzigo nawauzia na wao wana Supply kwenye maeneo yao. NOTE: My capital sio mkubwa kiivyo ila naeza kujitahid consistency ikawa nzuri.

Kwa watu wa Singida na Dodoma Itafaa Sana. Pia tunaeza Settle a Business plan Kama itaezekana. At the End we my rise together.

Alie interested tuyajenge PM



Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: amu
Wangari Maathai uko sawa sana mawazo yako. Nakuunga mkono 100%. Hii biashara nimeshauriwa na watu wengi kwa muda mrefu ila kila nikichanganya na akili zangu naona haiji kabisa. Inafaa muajiriwa ambaye kabanwa sana kazini kwake. Ila kwa sisi tulio na muda sio sahihi. Wazo lako kununua na kuuza liko sahihi kabisa. Faida ya Tsh 700,000/= kwa wiki ni ndogo tena kwa biashara ya kawaida sana. Ukikaza na kuwa na kasi nzuri waweza fanya vitu vingi ikiwemo kuuza nafaka na kupiga noti ndefu sana.


Bora ukoboleshe uuze ukiisha unaleta tena kama alivyosema mchangiaji humu euca! Mishe nyingi sana za kukuletea hyo hela per month .bora umesema wewe mie ujuaji unanizidi eish! Tatizo ni watu gani wanakuzunguka....ngumu sn kujua deals za maana!🙌🙌
 
Tatizo ni watu gani wanakuzunguka....ngumu sn kujua deals za maana![emoji119][emoji119]

Hii nimeichukua mkuu. Nilikuwa na mtaji wa 30M kwa kuwa nimezungwa na waajiriwa wenzangu sikuweza kupata deals za maana, nikaishia kununua bajaji ambazo zimenifilisi hadi sina mtaji tena kwasababu tuu zinachukua mudarefu mnoo kurudisha pesa. Natamani sana kupata marafiki wa mtaani lkn kazi yangu inachukua muda wangu mwingi mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wadau, Nahitahi Mtu/watu wa kufanya nao Biashara, yaan nikifikisha Mzigo nawauzia na wao wana Supply kwenye maeneo yao. NOTE: My capital sio mkubwa kiivyo ila naeza kujitahid consistency ikawa nzuri. Kwa watu wa Singida na Dodoma Itafaa Sana. Pia tunaeza Settle a Business plan Kama itaezekana. At the End we my rise together.

Alie interested tuyajenge PM



Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tuendelee na discusion pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nimeichukua mkuu. Nilikuwa na mtaji wa 30M kwa kuwa nimezungwa na waajiriwa wenzangu sikuweza kupata deals za maana, nikaishia kununua bajaji ambazo zimenifilisi hadi sina mtaji tena kwasababu tuu zinachukua mudarefu mnoo kurudisha pesa. Natamani sana kupata marafiki wa mtaani lkn kazi yangu inachukua muda wangu mwingi mno

Sent using Jamii Forums mobile app


There u r mkuu! Marafiki na watu wanaokuzunguka ni sumu sana kwenye maendeleo ya mtu!mie nna marafiki wa kuhesabu.sijui hata kama wa3 wanafika! Bora kukaa nao mbali...! Pambana mkuu !..mie nikishaona huyu mtu ni succesful najiweka naye karibu najua kbs ntagain somethng!
 
Back
Top Bottom