Nataka kununua mchele wa mwaka huu halafu niuuze baadaye

Mh! dunia ya Leo siyo ya kuamini mtu hivi hivi,chako kinakutoa uhai,miaka ya nyuma niliwahi kununua gunia za mpunga 500 nikaweka stoo za hawa watu wenye machine za kukoboa,chakushangaza muda uliposonga sana nikisubiri bei ipande, mwenye stoo akashikwa na tamaa za kutaka kuniua ili amiriki mpunga wangu ,nikiwa sijui hili wala lile,siku moja usiku saa sita nasikia watu wanagonga hodi kwangu nami bila kujua nikafungua mlango ,

Si kuamini macho yangu,nikapigwa chini ya ulinzi nakuambiwa tumetumwa tuje tukuue na bwana x, na ametupatia milioni moja,jamaa wakadai ili wasiniue niwape milioni moja na nusu wasiniue,nami bila hiyana ilibidi nifanye hivyo na baadae wakaniacha.

Ili kuamini ikiwa kweli wale watu walitumwa na jamaa au lah kesho yake kwenye muda wa saa nne jamaa mwenye stoo akiamini kuwa nimeshauawa nilienda mashineni na kukuta ameshaanza kukoboa mpunga wangu maana alikuwa na uhakika kuwa wameshanitoa uhai

Ogopa sana binadamu ,
Karibu Kahama mkuu njoo na stoo nitakupa uhifadhi ila unipe nami dili la soko mahali pa kuuzia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah... Hatari sana
 
Kabisa ndugu ila tunatofautiana sana ndugu yangu si kila mtu anawaza kufanya ubaya wa namna hii
 
Poleni wanaJF kwa majukumu na mapambano ya CORONA tukumbuke kufuata maelezo ya wataalam.

Kama kichwa cha Habari kinavyoele naomba ushauri wenu wataalam wa Biashara ya Mazao. Nataka kununua Michele wa MWAKA huu niuhifadhi niuze hapo baadae je, kuna athari yeyote?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nunua Mpunga au mahindi kipindi cha mavuno kisha uza Desemba Januari Februari ukipenda kununua mpunga naweza kupa mtu Morogoro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakushauli nunua mpunga tena mtafute mtu mzoefu ili ucje kuuuziwa mpunga mbaya, ukishanunua mpunga unaweza stooo kunanzi mwezi wa Pili unauza mm ninauzoefu sana na hiyo biashara nilikuwa naifanya miaka ya 2010 kuhifadhi mchele changamoto nyingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungejua nishawahi uza mamchele ya Ifakara!!! hahaa biashara kichaa hii
Tuelezee ukichaa wake mkuu tusije tukawa tunatumia MAGAZIJUTO, kutengeneza faida!
Mwezi wa Sita kilo Sh.1000/January kilo Sh.2000/ miezi Sita tufaida 100
% hapo naondoa gharama za uendeshaji...! Faida tayari.
 
Tuelezee ukichaa wake mkuu tusije tukawa tunatumia MAGAZIJUTO,kutengeneza faida!
Mwezi wa Sita kilo Sh.1000/January kilo Sh.2000/ miezi Sita tufaida 100
% hapo naondoa gharama za uendeshsaji...!Faida tayari.

Wajuzi wataeleza..mkuu..kwa mie hata kidg siifanyi tena! ..! Unakua mzima wewe unazika hela kw miez 6 uje utengeze faida ya 600@!??.. Anywys..kila mtu na mipango yake
 
Nina uzoef sana na hiyo biashara,mwaka jana nlinunua gunia 200 mwezi wa sita kwa sh 60000@ gunia nikauza mwezi wa pili mwaka huu kwa 90000 kwa gunia,kwakweli faida yake ni ndogo ukitoa cost zote japo huwezi kupata hasara!

Bora useme wewe...ni bora ukatafuta soko zuri nje huko ukajilipua tons kadhaa...safari mbili tu umebadilisha figures kwa benk! Lakini sio mbaya kwa kuanza kuchek soko...!kuliko kukaa bure
 
Back
Top Bottom