MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Watu wapunguze uoga. Siku hizi hata ukiwa na milioni moja unaweza ukaagiza kitu China ukauza na kupata profit kubwa tu ndani ya muda mfupi. Sio China tu hata India na nchi zingine za Asia kuna vitu vingi vya kuleta huku. Watu wengi tuna mawazo yale yale na kufanya kwa njia zilezile bajaj, bodaboda, saluni, duka la nguo, nafaka, duka la rejareja, na vingine kama hivyo.Bora ukoboleshe uuze ukiisha unaleta tena kama alivyosema mchangiaji humu euca! Mishe nyingi sana za kukuletea hyo hela per month .bora umesema wewe mie ujuaji unanizidi eish! Tatizo ni watu gani wanakuzunguka....ngumu sn kujua deals za maana!🙌🙌
Pole bro. Saa nyingine hata waliopo mtaani hukutana na dhoruba. Sio kila kitu ukipanga kinaenda vile ulivyopanga. Unaweza kufungua biashara zaidi ya nne lakini ikakulipa moja tena ile uliyochukulia poa. Zingine tatu zikafa. Mimi hadi ss hivi nina majuto ya kupoteza zaidi ya 45m kwa biashara niliyokuwa nimewekea malengo makubwa lakini ikanisaliti. Cha muhimu kama bado unavuta pumzi songa mbele ukiepuka makosa ya nyuma. Kama ni makosa bora yawe mapya kuliko kurudia ya zamani.Hii nimeichukua mkuu. Nilikuwa na mtaji wa 30M kwa kuwa nimezungwa na waajiriwa wenzangu sikuweza kupata deals za maana, nikaishia kununua bajaji ambazo zimenifilisi hadi sina mtaji tena kwasababu tuu zinachukua mudarefu mnoo kurudisha pesa. Natamani sana kupata marafiki wa mtaani lkn kazi yangu inachukua muda wangu mwingi mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mbona upo kama mimi? Kuna nini kati yetu? Kama ni dada "SHKAMOO DADA" kama ni kaka "SHKAMOO KAKA"There u r mkuu! Marafiki na watu wanaokuzunguka ni sumu sana kwenye maendeleo ya mtu!mie nna marafiki wa kuhesabu.sijui hata kama wa3 wanafika! Bora kukaa nao mbali...! Pambana mkuu !..mie nikishaona huyu mtu ni succesful najiweka naye karibu najua kbs ntagain somethng!
Wewe mbona upo kama mimi? Kuna nini kati yetu? Kama ni dada "SHKAMOO DADA" kama ni kaka "SHKAMOO KAKA"
Watu wapunguze uoga. Siku hizi hata ukiwa na milioni moja unaweza ukaagiza kitu China ukauza na kupata profit kubwa tu ndani ya muda mfupi. Sio China tu hata India na nchi zingine za Asia kuna vitu vingi vya kuleta huku. Watu wengi tuna mawazo yale yale na kufanya kwa njia zilezile bajaj, bodaboda, saluni, duka la nguo, nafaka, duka la rejareja, na vingine kama hivyo.
Wewe mbona upo kama mimi? Kuna nini kati yetu? Kama ni dada "SHKAMOO DADA" kama ni kaka "SHKAMOO KAKA"
Hongera sana Mama.😁😁😁! Basi unajitambua .siwez shinda insta sijui kuchek umbea arghh hapana..kwanza najiona nna hobby za kiume ume vile!..ni mm na shughuli zangu..wapi nikp weak wapi nna strength..! Najua iko siku ntafika napotaka!
Mie ni mama!(ke)
Mchele hautunziki vizuri, nunua mpunga.Poleni wanaJF kwa majukumu na mapambano ya CORONA tukumbuke kufuata maelezo ya wataalam.
Kama kichwa cha Habari kinavyoele naomba ushauri wenu wataalam wa Biashara ya Mazao. Nataka kununua mchele wa mwaka huu niuhifadhi niuze hapo baadaye.
Je, kuna athari yoyote?
Nunua Mpunga au mahindi kipindi cha mavuno kisha uza Desemba Januari Februari ukipenda kununua mpunga naweza kupa mtu Morogoro
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole saana mkuuMh! dunia ya Leo siyo ya kuamini mtu hivi hivi,chako kinakutoa uhai,miaka ya nyuma niliwahi kununua gunia za mpunga 500 nikaweka stoo za hawa watu wenye machine za kukoboa,chakushangaza muda uliposonga sana nikisubiri bei ipande, mwenye stoo akashikwa na tamaa za kutaka kuniua ili amiriki mpunga wangu ,nikiwa sijui hili wala lile,siku moja usiku saa sita nasikia watu wanagonga hodi kwangu nami bila kujua nikafungua mlango ,
Si kuamini macho yangu,nikapigwa chini ya ulinzi nakuambiwa tumetumwa tuje tukuue na bwana x, na ametupatia milioni moja,jamaa wakadai ili wasiniue niwape milioni moja na nusu wasiniue,nami bila hiyana ilibidi nifanye hivyo na baadae wakaniacha.
Ili kuamini ikiwa kweli wale watu walitumwa na jamaa au lah kesho yake kwenye muda wa saa nne jamaa mwenye stoo akiamini kuwa nimeshauawa nilienda mashineni na kukuta ameshaanza kukoboa mpunga wangu maana alikuwa na uhakika kuwa wameshanitoa uhai
Ogopa sana binadamu ,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchele hauwezi kuharibika ikiwa utahifadhiwa vizuri,Mimi huwa natumia mafuta ya kula,yaani unaumwagia na unaanza kuchanganya na hayo mafuta,
Mchele huu huweza kukaa hadi mwaka bila shida kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa kasema unaweza kununua mpunga bei rahisi mawili unaweza kutoa pumba ukapata mchele m baya au mzurkuna ndugu yangu jana kaniambia Tunaweza nunua mpunga gunia 45000 ni maeneo ya Mwanza kuuza 100000-120000 kwny mwezi 11 had 12... naomben mniongeze ujuzi kuhusu hili
Mchele ama Mpunga ?Poleni wanaJF kwa majukumu na mapambano ya CORONA tukumbuke kufuata maelezo ya wataalam.
Kama kichwa cha Habari kinavyoele naomba ushauri wenu wataalam wa Biashara ya Mazao. Nataka kununua mchele wa mwaka huu niuhifadhi niuze hapo baadaye.
Je, kuna athari yoyote?
Poleni wanaJF kwa majukumu na mapambano ya CORONA tukumbuke kufuata maelezo ya wataalam.
Kama kichwa cha Habari kinavyoele naomba ushauri wenu wataalam wa Biashara ya Mazao. Nataka kununua mchele wa mwaka huu niuhifadhi niuze hapo baadaye.
Je, kuna athari yoyote?
Ni bora ununue mpunga uhifadhi kuliko mchele maana mpunga hauna gharama katika uhifadhi tofauti na mchelePoleni wanaJF kwa majukumu na mapambano ya CORONA tukumbuke kufuata maelezo ya wataalam.
Kama kichwa cha Habari kinavyoele naomba ushauri wenu wataalam wa Biashara ya Mazao. Nataka kununua mchele wa mwaka huu niuhifadhi niuze hapo baadaye.
Je, kuna athari yoyote?
Njoo Mbeya uko mwingi sana.
Bado mtoto weweHivi unanunua mchele let say kwa 1000@kg! May...then dec uje uuze kwa 1800-2000@kg! Means nahangaikia 1000@kwa miezi yote hiyo!!!!!!!!