Nataka kununua mlima, taratibu zikoje?

Nataka kununua mlima, taratibu zikoje?

Boss fika au wasiliana na halmashauri ya eneo husika au ofisi za ardhi utapata muongozo mzuri

Nikumbuke natafuta kibarua mkuu ukifanikiwa.
Contact:255694934864
 
Kama wazungu wanamiliki mpaka hifadhi na mapori ya akiba sidhani kama kumiliki mlima ni shida. Cha msingi fuata taratibu zote za umiliki wa ardhi kama kawaida.
 
Ongea na wachaga fresh kilimanjaro au meru wewe tuh ela yako
 
kumiliki mlima kwa kweli ni ishu sana, kwa mfano useme unataka kumili mlima meru, kilimanjaro au safu ya milima ya uluguru au udzungwa kuna mtu atakuelema kweli, Mkuu nilivokuelewa mm unatafuta sehemu yenye mwinuko, hzo sehemu zipo nyingi tu na ukifuata taratibu unapata fasta tu, fanya utafiti vzuri, kuna nyingine zinamilikiwa na watu unaweza kufanya kununua hyo ardhi yao na baado ya hapo kuruata utaratibu wa kumikiki hyo sehemu ya mwinuko kisheria, au unaweza nenda ofisi za kijiji husika, kama eneo utakalokuwa unalitaka liko vacant kuna utaratibu watakupa wa kulimiliki, japokuwa kijiji hakiruhusiwi kutoa ardhi zaidi ya hekari 50 kwa mtu mmoja.
 
Au wazungumizia kisehem chenye muinuko...

kuna tofauti kubwa kati ya mlima (mount) na hill (kilima)
Kwa sasa sina vipimo rasmi ila nadhani ni sahihi kuita ni mlima maana ni sehemu inayotakiwa kwenda juu kiasi chake lakini siyo size za milima mikubwa kama Kilimanjaro au Meru
 
naona waliokuwa wanakukejeli wanaweza kuwa sahihi, inaelekea hujui hata unatafuta/unataka nn mkuu wangu, kila la heri ktk utfutaji wako wa mlima. NAJUTIA HATA MUDA WANGU NILIOTUMIA KUKUELEKEZA CHA KUFANYA HAPO JUU,

ITOSHE KUSEMA WE NI KIAZI.
 
Uwekezaji kwenye nyumba ni kuweka gest au lodge Tu , kwa siku uhakika wa kulala na minimum elfy50 ,
Kupangisha hiyo sio biashara
 
Watu kama nyie ndiyo nimewaongelea hapo mwanzo wa uzi, wakwamishaji wa harakati za watu. Mtakuja na mizaha, kejeli na vikwazo vingine kisa tu mtu amekuja na mtazamo, wazo au mipango ya maisha tofauti na yako.
Mwishoni mwa miaka ya 1800, Mwanasayansi aliyekuwa akijaribu kurusha ndege, baada ya majaribio yake kadhaa kushindwa, aliishia kukata tamaa baada ya kukejeliwa na watu mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari. Alimejeliwa sana kuwa hilo halitakaa liwezekane.

Lakini miaka michache baadaye, vijana wawili wa mzee Wright, tena ambao walikuwa na Elimu ndogo sana, waliweka Historia ya kuwa watu wa kwanza kuirusha ndege, jaribio ambalo lilikuwa limewashinda maprofesa wa Chuo Kikuu kutokana na kukatishwa tamaa.

Kuna Mwanasayansi mwingine, simkumbuki jina, ambaye baada ya kutangaza kuwa kavumbua njia ya kutuma mawimbi ya sauti bila kutumia waya, marafiki zake na watu wake wa karibu walimkamata na kumpeleka hospitalini wakiamini kuwa ndugu yao kachanganyikiwa . Kwao, ilikuwa ni kitu kisichowezekana kuweza kuwasiliana kwa simu ya mkononi (wireless), lakini kutokuamini kwao hakukubadilisha ukweli wa ugunduzi wake.

Mkuu, ninakuonya! Ukiona kila mtu anakuunga mkono kuwa wazo lako linawezekana kufanikiwa, ujue hiyo ndoto ni ndogo sana.

Lakini ukiona ndoto inaonekana ni kubwa kiasi cha kuitisha hata akili yako, ujue hiyo ndiyo ya kwenda nayo.

Kukejeliwa kuwa haiwezekani ni dalili mojawapo kuwa wazo lako ni la kipekee.

Na kama unaamini utalifanikisha, itakuwa hivyo kwa kuwa inasemekana "WHATEVER THE MIND CAN CONCEIVE AND BELIEVE, WILL ACHIEVE!"
 
Mwishoni mwa miaka ya 1800, Mwanasayansi aliyekuwa akijaribu kurusha ndege, baada ya majaribio yake kadhaa kushindwa, aliishia kukata tamaa baada ya kukejeliwa na watu mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari. Alimejeliwa sana kuwa hilo halitakaa liwezekane.

Lakini miaka michache baadaye, vijana wawili wa mzee Wright, tena ambao walikuwa na Elimu ndogo sana, waliweka Historia ya kuwa watu wa kwanza kuirusha ndege, jaribio ambalo lilikuwa limewashinda maprofesa wa Chuo Kikuu kutokana na kukatishwa tamaa.

Kuna Mwanasayansi mwingine, simkumbuki jina, ambaye baada ya kutangaza kuwa kavumbua njia ya kutuma mawimbi ya sauti bila kutumia waya, marafiki zake na watu wake wa karibu walimkamata na kumpeleka hospitalini wakiamini kuwa ndugu yao kachanganyikiwa . Kwao, ilikuwa ni kitu kisichowezekana kuweza kuwasiliana kwa simu ya mkononi (wireless), lakini kutokuamini kwao hakukubadilisha ukweli wa ugunduzi wake.

Mkuu, ninakuonya! Ukiona kila mtu anakuunga mkono kuwa wazo lako linawezekana kufanikiwa, ujue hiyo ndoto ni ndogo sana.

Lakini ukiona ndoto inaonekana ni kubwa kiasi cha kuitisha hata akili yako, ujue hiyo ndiyo ya kwenda nayo.

Kukejeliwa kuwa haiwezekani ni dalili mojawapo kuwa wazo lako ni la kipekee.

Na kama unaamisha italifanikisha, itakuwa hivyo kwa kuwa inasemekana "WHATEVER THE MIND CAN CONCEIVE AND BELIEVE WILL ACHIEVE!"
Nashukuru sana mkuu, pamoja sana. Tuendelee kupambana tuache alama
 
Kama hauna madini rahisi sana kapime tu kama sio reserve haina noma .
 
Back
Top Bottom