Nataka kununua simu kwa mtu je nifate utaratibu gani? Mtu huyo simfahamu

Nataka kununua simu kwa mtu je nifate utaratibu gani? Mtu huyo simfahamu

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,466
Reaction score
18,206
Kuna jamaa ngu alipelekwa jela kirahis sana. Lisa alinunua simu kwa rafiki yake bila kujua kuwa hiyo simu iliibwa
 
Kuna jamaa ngu alipelekwa jele kirahis sna Lisa alinunua simu kwa rfk aake bila kujuwa kuwa hiyo simu iliibiwa
1. Andaa mkataba wa mauziano
2. Muuzaji awe na receipt original
3.Muuzaji awe na kitambulicho cha Taifa
4. Muuzaji awe na Shahidi
5. Wote wawe na namba za simu zilizo sajiliwa kwa majina ya kwenye kitambukisho cha Taifa
6. Awe na picha ndogo(Passport size 2)
7. Nenda mpka kwao unaonane na mzaz au mlezi wake.
Baaada ya hpo yote utakua upo salama.
 
Mi nimeuza simu zaidi ya 3 facebook tena wanunuaji hawakuchukua tahadhari yeyote mpaka nikabaki nashangaa!
Kwahiyo wauzaji wasio na vipengere wapo, hizo za wizi ni chache sana! Kingine nilichoona kwa kule fb mtu hawezi post kitu cha wizi, kama umekutana naye tu mtaani basi chukua tahadhari zaidi!
 
1. Andaa mkataba wa mauziano
2. Muuzaji awe na receipt original
3.Muuzaji awe na kitambulicho cha Taifa
4. Muuzaji awe na Shahidi
5. Wote wawe na namba za simu zilizo sajiliwa kwa majina ya kwenye kitambukisho cha Taifa
6. Awe na picha ndogo(Passport size 2)
7. Nenda mpka kwao unaonane na mzaz au mlezi wake.
Baaada ya hpo yote utakua upo salama.
Yote hayo ya nini jamani...
Hivi kweli global hii ni mda wa kuuziana simu mikononi...
😂😂😂😂😂😂 Mambi ya ajabu haya
 
1. Andaa mkataba wa mauziano
2. Muuzaji awe na receipt original
3.Muuzaji awe na kitambulicho cha Taifa
4. Muuzaji awe na Shahidi
5. Wote wawe na namba za simu zilizo sajiliwa kwa majina ya kwenye kitambukisho cha Taifa
6. Awe na picha ndogo(Passport size 2)
7. Nenda mpka kwao unaonane na mzaz au mlezi wake.
Baaada ya hpo yote utakua upo salama.
Hii Nchi bana yaani yote haya kisa simu ya mtumba.
 
Back
Top Bottom