Nataka kununua Toyota Crown Althele

Nataka kununua Toyota Crown Althele

Habari!nunua ila swala la mafuta mkuu wala Mimi sikudanganyi haili Kama IST and the like,hii ni gari kubwa ina nguvu with comfortability.

Acha kulinganisha V6 na vibakuli

Ukitaka compare fuel economy linganisha na v6 nyingne

IST imekua kama SI unit sasa ya fuel consumption [emoji845]

Which is unfair
 
Kapitie uzi wa “crown the japannese benz”

Watu wameshare views kibao kuhusu crown

Ushauri:nunua hiyo gari lakini

Kulingana na ombi lako jitahidi

Tafuta either 4GR kuanzia 2006 au
3GR 2004-2008

Hizi zote zina 6speed auto gearbox
Zinachanganya faster with good fuel efficiency

Achana na 4GR za 2004-2005

Na kama unaagiza mwenyewe japan

Check japanesevehicle ipo black moja kali 4GR 2006

CIF ni kama 10ml
TRA andaa 7,6ml

View attachment 2571064
Niliangukia 5 speed as sikuwa nafahamu tofauti yake. Aro ukiwa highway linaunguruma hilo
 
Acha kulinganisha V6 na vibakuli

Ukitaka compare fuel economy linganisha na v6 nyingne

IST imekua kama SI unit sasa ya fuel consumption [emoji845]

Which is unfair

Nimeongea just simple tu,wengi wetu tu napenda gari ambayo haili mafuta mfano rahisi ni hyo IST hata kama ulinganifu siyo sahihi,Gari imeshakuwa V6 au V8 lazima itabwia tu kiwango flani ukilinganisha na Gari ndogo.Ndio maana sisi wengine tukishajua engine kubwa Hatuwazi tena unafuu wa mafuta tunafikiria ku enjoy kwenye features nyingine zinazokuwepo kwenye hiyo gari.
 
Niliangukia 5 speed as sikuwa nafahamu tofauti yake. Aro ukiwa highway linaunguruma hilo

Wala usiwaze utafouti wake ni mdogo sana

Na utagundua mpk ukitumia zote mbili hasa highway

Otherwise crown ni crown zinashare vitu vyote tofauti ni engine tu exept zile Gorvemental(G.packages) ile trim zinakuja na memory heated leather seats,sunroof,memory seat,cool box(fridge) etc
 
Kapitie uzi wa “crown the japannese benz”

Watu wameshare views kibao kuhusu crown

Ushauri:nunua hiyo gari lakini

Kulingana na ombi lako jitahidi

Tafuta either 4GR kuanzia 2006 au
3GR 2004-2008

Hizi zote zina 6speed auto gearbox
Zinachanganya faster with good fuel efficiency

Achana na 4GR za 2004-2005

Na kama unaagiza mwenyewe japan

Check japanesevehicle ipo black moja kali 4GR 2006

CIF ni kama 10ml
TRA andaa 7,6ml

View attachment 2571064
unalipa TRA na CIF au ni kitu kimoja??
 
Hizi ni story telling au n kweli
Kwann usiamini, angalia leo be forward wana ofa hii crown imeshushwa bei kwa 84% mpka dar port ni 6+mill only
 

Attachments

  • Screenshot_20230405-124757.png
    Screenshot_20230405-124757.png
    855.9 KB · Views: 87
Yan jamii form bhna mtu anauliza swali lingine ww unampa maelezo na ushauri..! Jibuni swali alilo uliza bas mambo ya ist cjui nini na nini atajua ww mwenyew
Jib: crown athlete mjini inatembea km 7-9 kwa wastan kama miji ambayo haina folen bas utapata mpaka km 10/L. High way utapata 10-13km kutegemea na uzima wa gar na service, kuna zingine mpak 14 km inafika.
Service ya oil na filter 120,000/=
Tairi kuanzia 160,000/=
Shock up sijajua kwa anae jua anaweza kutuambia.
Vingine vyote ni nirmal tu kama toyota zingine tu. Ni gari nzuri mbio imo
Ukiendesha vzr hata haita kuumiza, nimenunua mwez wa pili huu tena kwa mtu na kamshahara kangu ka lak 5 sina mizunguko mingi na balance rpm bac nakula raha tu
 
Kiukwel crown haili mafuta umeme mwingi ukiendesha vzuri km9-11per liter tena mjin, wengi wanaosema n jini hawajawahi miliki au wamepata mabovu ambayo yalishafungwa injini ila ukipata ambayo haijachezewa haili wese
 
Kiukwel crown haili mafuta umeme mwingi ukiendesha vzuri km9-11per liter tena mjin, wengi wanaosema n jini hawajawahi miliki au wamepata mabovu ambayo yalishafungwa injini ila ukipata ambayo haijachezewa haili wese
Wese inakula, hakuna gari ambayo inakunywa supu, gari lazima ile mafuta. Nilicho jifunza kwa athlete yangu. Kama uchumi wako kama wangu bac usiwe na safar zisizo na kichwa wala miguu, pili usiiforce gari kukimbia acha ichanganye yenyew smooth, tatu jaza full tank utaongezea tu pale inapo pungua hapo hutaona shida yeyote kumilik crown. Cjajua kwny sunspension nackia ni bei ila mungu atafungua milango zaid
 
Mimi ninamiliki crown na pikpik boxer siku naona c lazima kutumia gari bac nachukua boxer yangu nazunguka nayo wala siumii wala ctetelek, kingine cjanunua kwa ajili ya kuwatambia watu nimenunua moyo unapenda kwahyo nikiiona tu hata ikiwa nimepak roho yangu inasuuzika,
 
Why 2006 na sasa iv tuko 2023 ndg
Miaka 17 ni umri wa mtoto wa form 3 km sio form 4 afu ww unataka ununue gar yenye 17yrs

Ni mawazo yangu tu
 
Why 2006 na sasa iv tuko 2023 ndg
Miaka 17 ni umri wa mtoto wa form 3 km sio form 4 afu ww unataka ununue gar yenye 17yrs

Ni mawazo yangu tu
Watu wananunua cresta za miaka ya 90 huko sembuse 2006, kama hujui gari ni utunzaji tu kuna mtu ana namba A lakin mpaka leo bado iko vz tu
 
Back
Top Bottom