Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
Kote umeelezea vzuri ila Mshahara wa laki 5 hapo sikubaliYan jamii form bhna mtu anauliza swali lingine ww unampa maelezo na ushauri..! Jibuni swali alilo uliza bas mambo ya ist cjui nini na nini atajua ww mwenyew
Jib: crown athlete mjini inatembea km 7-9 kwa wastan kama miji ambayo haina folen bas utapata mpaka km 10/L. High way utapata 10-13km kutegemea na uzima wa gar na service, kuna zingine mpak 14 km inafika.
Service ya oil na filter 120,000/=
Tairi kuanzia 160,000/=
Shock up sijajua kwa anae jua anaweza kutuambia.
Vingine vyote ni nirmal tu kama toyota zingine tu. Ni gari nzuri mbio imo
Ukiendesha vzr hata haita kuumiza, nimenunua mwez wa pili huu tena kwa mtu na kamshahara kangu ka lak 5 sina mizunguko mingi na balance rpm bac nakula raha tu