Habari!nunua ila swala la mafuta mkuu wala Mimi sikudanganyi haili Kama IST and the like,hii ni gari kubwa ina nguvu with comfortability.
Niliangukia 5 speed as sikuwa nafahamu tofauti yake. Aro ukiwa highway linaunguruma hiloKapitie uzi wa “crown the japannese benz”
Watu wameshare views kibao kuhusu crown
Ushauri:nunua hiyo gari lakini
Kulingana na ombi lako jitahidi
Tafuta either 4GR kuanzia 2006 au
3GR 2004-2008
Hizi zote zina 6speed auto gearbox
Zinachanganya faster with good fuel efficiency
Achana na 4GR za 2004-2005
Na kama unaagiza mwenyewe japan
Check japanesevehicle ipo black moja kali 4GR 2006
CIF ni kama 10ml
TRA andaa 7,6ml
View attachment 2571064
Acha kulinganisha V6 na vibakuli
Ukitaka compare fuel economy linganisha na v6 nyingne
IST imekua kama SI unit sasa ya fuel consumption [emoji845]
Which is unfair
Niliangukia 5 speed as sikuwa nafahamu tofauti yake. Aro ukiwa highway linaunguruma hilo
unalipa TRA na CIF au ni kitu kimoja??Kapitie uzi wa “crown the japannese benz”
Watu wameshare views kibao kuhusu crown
Ushauri:nunua hiyo gari lakini
Kulingana na ombi lako jitahidi
Tafuta either 4GR kuanzia 2006 au
3GR 2004-2008
Hizi zote zina 6speed auto gearbox
Zinachanganya faster with good fuel efficiency
Achana na 4GR za 2004-2005
Na kama unaagiza mwenyewe japan
Check japanesevehicle ipo black moja kali 4GR 2006
CIF ni kama 10ml
TRA andaa 7,6ml
View attachment 2571064
tafuta utapata tu gari nyingi sana sikuiziSasa gari za kuanzia 2010 mm balanc yangu 15m
sasa mkuu hajataja gari gani,kama ni toyota paso je.Hizi ni story telling au n kweli
Kwann usiamini, angalia leo be forward wana ofa hii crown imeshushwa bei kwa 84% mpka dar port ni 6+mill onlyHizi ni story telling au n kweli
Kwann usiamini, angalia leo be forward wana ofa hii crown imeshushwa bei kwa 84% mpka dar port ni 6+mill only
Ni grs 182...3000cc gia sitaHii sio 2GR 3.5L
Maana engine kubwa ina demand ndogo
Saa hivi kuagiza hizo gari haiwezi pungua 16m.Mwaka 2019 jamaa yangu aliagiza kutoka japan , mpka inakamilika usajili kila kitu alitumia milion 12, akiwa hapa dar
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Wese inakula, hakuna gari ambayo inakunywa supu, gari lazima ile mafuta. Nilicho jifunza kwa athlete yangu. Kama uchumi wako kama wangu bac usiwe na safar zisizo na kichwa wala miguu, pili usiiforce gari kukimbia acha ichanganye yenyew smooth, tatu jaza full tank utaongezea tu pale inapo pungua hapo hutaona shida yeyote kumilik crown. Cjajua kwny sunspension nackia ni bei ila mungu atafungua milango zaidKiukwel crown haili mafuta umeme mwingi ukiendesha vzuri km9-11per liter tena mjin, wengi wanaosema n jini hawajawahi miliki au wamepata mabovu ambayo yalishafungwa injini ila ukipata ambayo haijachezewa haili wese
Why 2006 na sasa iv tuko 2023 ndg
Miaka 17 ni umri wa mtoto wa form 3 km sio form 4 afu ww unataka ununue gar yenye 17yrs
Ni mawazo yangu tu
Watu wananunua cresta za miaka ya 90 huko sembuse 2006, kama hujui gari ni utunzaji tu kuna mtu ana namba A lakin mpaka leo bado iko vz tuWhy 2006 na sasa iv tuko 2023 ndg
Miaka 17 ni umri wa mtoto wa form 3 km sio form 4 afu ww unataka ununue gar yenye 17yrs
Ni mawazo yangu tu