sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Habari zenu wakuu,
Nina tatizo la network hapa nyumbani kwangu maeneo ya sebleni kwangu na chumbani kwangu ambako ndiko natumia internet.
Sasa kuna sehemu ya nje ni kama kibanda kisicho na umeme, network imejaa 4g huwa inashika vizuri sana, nataka niweke portable wifi router ndogo hizi zinazouzwa elf 60 iwe inasambazia wifi simu, laptop na tv.
Kikwazo kilichopo ni kwamba nimeona hizi router zinakaa wastani wa masaa 6, sitaki niwe nachaji chaji kila muda, nataka nikiiweka huko ikae hata siku 2 ama siku 3.
Nikaona kama ni hivi huenda kutumia power bank ambayo ni 10,000 mah itasaidia router kukaa muda mrefu zaidi.
Je, huu ni uamuzi sahihi? Kuna madhara kwa router kwa kufanya hivi?